Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

waelewe kwa lipi.....majiji yetu yote mambo bado si dar wala nairobi hivyo yapasa tujikaze huu ndiyo ukweli .....

ila ulichoongea wewe ni utumbo
Sijakuelewa kwa sababu hueleweki.
Lakini naona ni kama uko in denial. Jengeni nchi yenu na mtafurahia
 
Nafikiria MABASI tumefunga hiyo chapter. Apana ringia mKenya kuhusu MABASI

WaKenya hawafurahishwi na vitu kama hizo. WaKenya wanakabiliana na vitu muhimu.. Kama jinsi ya kuzidisha mahusiano kati yetu na majirani ETHIOPIA na SSD

WaKenya watu wa kufikiria na kuona mbele
 
😛😛
The national budget statements and financial data seen by TUKO.co.ke on Thursday, June 14, showed Tanzania, Uganda and Rwanda's budget totaled to about KSh 1.5 trillion, which is half of Kenya's KSh 3.07 budget. Each of the the four East African economies had its key priority areas in the 2018/19 financial year, with things like health care and infrastructure development dominating. Read more: Kenya’s 2018/2019 budget dwarfs Tanzania, Uganda and Rwanda’s combined
Hivi hili nalo lakuleta hapa tulijadili kweli
Kila mwaka tulisha lielezea bajeti ya kenya ni ukubwa wa pua
hakuna lolote wizi na ufisadi
bajeti hewa
40% ya bajeti hiyo huishia Kikuyuni hakuna lolote
 
NBO Imenivutia Ile restaurant yenye Giraffe yani unakunywa kahawa wanakusaidia snacks hua hawaumi wale?they don't hurt?I don't trust wild animals
 
Shida kuu sana baina ya waKenya na waTZ.
waKenya ni watu wabunifu na watapenda sanasana kufanya utafiti. Wewe naona ni representation of your people.. Ati 'hamna haja ya utafiti' alaar? Mtasongaje mbele kama nchi mfikie waKenya kama hivi ndivyo mnavyofikiria? FOCUS kijana
Kweli nyinyi ni watafiti sana, mlikuja Dar kufanya utafiti wa BRT mkasema BRT ya Dar siyo nzuri! mkarudi Nai mkafanya ubunifu wa kwenda stationery na kununu marker pen na kuchora barabara zenu ONLY BRT!! HAHAAAA
 
Unemployment iko Kenya ndio. Kwasababu watu wamesoma sana.
Tunakuja huko TZ kuchukua hizo kazi zenu inaonekana at 2% kazi iko kwa wingi.

Wakishafungua mipaka za Africa waKenya Watakua everywhere na hamuezi shindana na sisi juu on average Kenyans are very clever and well educated kuliko average African/tanzanian
Duuh!! Unajua maana ya unemployment kweli ww! Mtu kuwa unemployed siyo lazima awe amesoma.. una aibisha shule na walimu walio kufundisha
 
Kweli nyinyi ni watafiti sana, mlikuja Dar kufanya utafiti wa BRT mkasema BRT ya Dar siyo nzuri! mkarudi Nai mkafanya ubunifu wa kwenda stationery na kununu marker pen na kuchora barabara zenu ONLY BRT!! HAHAAAA
Ungekua mtu mwenye akili ungejua kwamba hizo marked lanes sio the actual BRT.

Zimekua marked ili kufanya experiment na kuCollect data about transportation cycles.
Hiyo data (Watu wangapi wanaitumia hiyo barabara, Speed gani itachaguliwa iwe design speed.. nkdhalik) in turn itatumika kucalculate the necessary things to put in place before NAIROBI adopts BRT

Nyinyi waTZ ni kama mlifikiria eti hizo marked lanes ndio BRT

BRT ni system, sio marked lanes
WaKenya watu taratibu. WaKenya watu waliosoma. WaKenya ni watu watafanya utafiti kwanza
 
Duuh!! Unajua maana ya unemployment kweli ww! Mtu kuwa unemployed siyo lazima awe amesoma.. una aibisha shule na walimu walio kufundisha
Wewe unaaibisha jamii.

Kenya watu wamesoma. People are qualified. Highly trained graduates everywhere. Apana mchezo.

Lakini Kazi ambazo zinatokea kila uchao hazitoshei ku Accommodate watu wote. Wale ambao hawajamaliza masomo ama hata ambao hawajasoma bado situation ni ile ile.

Lakini hayafai kukusumbua. Hii ni shida zetu na tutakabiliana nazo kivyetu tuu
 
Yeah hizo ni shida zenu! Ulivyo sema kuhusu utafiti mnaofanya wa BRT nimecheka kwa kusikitika! Hapa una jadiliana na kaka zako ambao wengine tuna vigezo kama au zaidi vya walimu wako. Wewe umekuja na ushamba wa kujihisi hapa JF hamna alie fika elimu yako ya Secondary. Ila kuna sehemu ulisema bado uko shule, nina kupa muda uki maliza shule may be uta anza ku make sense.. Stick to books and JF too, eventually you will be enlightened. Stay safe Kid
 
Ndugu za TZ zinafurahia mabasi. BUSES yaani magari! Kwani nyinyi ni watoto? Akili yenu bado haijakua? BUSES?? ambazo zinatoka Kenya!?

MABASI ndio vitu zinazofurahisha Watanzania? WTF? Kama haingekua Ujerumani kushindwa kwenye WW2 nyinyi bado mngekua colonised!

MABASI?

BUSES??
Jamani sasa huu ni utani asee, kati ya Kenya na Tanzania nani alitawaliwa? Please go and revise the meaning of Plantation economy & settler economy. Afu kumbuka bado mpo chini yao ndo maana hata mwanaume wa kikenya kuolewa na mzungu kwenu ni ufahari.
 
Yeah hizo ni shida zenu! Ulivyo sema kuhusu utafiti mnaofanya wa BRT nimecheka kwa kusikitika! Hapa una jadiliana na kaka zako ambao wengine tuna vigezo kama au zaidi vya walimu wako. Wewe umekuja na ushamba wa kujihisi hapa JF hamna alie fika elimu yako ya Secondary. Ila kuna sehemu ulisema bado uko shule, nina kupa muda uki maliza shule may be uta anza ku make sense.. Stick to books and JF too, eventually you will be enlightened. Stay safe Kid
Kijana mimi ni highly trained Structural engineer. Mimi civil engineering is my forte. Mimi schorlaship napata ya kuzidi Australia (University of New South Wales) . Kwa hivyo usiongee ujinga ukishindwa na hoja

Apana dharau mKenya. mKenya ni mtu hatari. Cheza mbali.
 
Watu hatari sana. Watu wa ajabu
IMG_20180704_200132_598.jpg
 
I foresee hatred among the two countries in future if you don't stop this nonsense now. Not that i'm a prophet of doom, my utterance are based on the high level of pain and hatred i witness in this forum daily. You are subjecting your children and grandchildren into a fire that will be very difficult to put off. Kenya and Tanzania have been neighbours for long even before the colonization and they lived in peace, happiness and love. Hate does not always start in a large area but in small areas between few individuals just like in this thread.
 
Tambo zenu hazimvunji mtu mfupa katu, Mimi binafsi naamini lazima ifike muda tu Kenya mfahamu pia kua eac giant economy sio kigezo cha kudharau wengine...mmekua apa kwa wingi mkidhani Tz hawana cha kuonyesha Au wengine, lakini baada ya maonyesho kadhaa mmeanza badilika nakuhamisha kijiwe kua kuna Chuki lahasha hakuna Chuki wala nn...
Mue na Amani tu jirani
 
No problem has ever been solved by pointing fingers to your opponents but only by accepting the mistakes even if you are not guilty. The offensive arguments have come from both sides so you can't include one side but exclude the other.
 
Angalia chimbuko la uzi ndio utafaham kua nyie ndio wenye chokochoko but it's Okey mkishachokonolewa ndio mnaanza kuhisi vibaya. ..
Btw there is nothing personal sijaona kitu kama icho, kupeana ukweli kua apa mmefeli apa mmeweza ni kitu cha kawaida but sio kutoa summary kua mmezidi kila kitu ilhali ukwel upo wazi
 
All organisms live by co- existence and that's why nature brought together different types of both plant and animal species. Unicellular organisms needs multicellular counterparts to complete their life life cycle and vise versa, so do I and you.
 
Angalia chimbuko la uzi ndio utafaham kua nyie ndio wenye chokochoko but it's Okey mkishachokonolewa ndio mnaanza kuhisi vibaya. ..
Btw there is nothing personal sijaona kitu kama icho, kupeana ukweli kua apa mmefeli apa mmeweza ni kitu cha kawaida but sio kutoa summary kua mmezidi kila kitu ilhali ukwel upo wazi
The last time i checked i think the headline read something like this " Dar Vs NRBI " but not what I'm seeing here.
 
Back
Top Bottom