asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
hehhehe kweli tanzania inatesa vichwa vyenu 😀😀 na bado huu ni mwanzo tuJuu Kenya imekua ikilala? My friend Kenya hata kuwe na misukosuko ama shida za serikali jua lazima kuna taratibu. Vitu havisimami. Kenya kuna intellectuals ambao huwa wanaMap out roadpath to the future
WaKenya watu hatari sana. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average African/tanzanian
ukipata dar hapo nitag😀😀😀😀Kiswahili lugha yenu lakini kukisoma ngumu kama mawe.
SLUMS TUNAZO NYINGI TENA SANA ila hazitudhuru jinsi zinavyodhuru waTZ
FOCUS! Unasema toll road.. Toll road gani kama 92% of the country's road network is UNPAVED and SUSCEPTIBLE TO HEAVY RAINFALL
Usiringie wakenya.. Hizi ni vitu za kawaida ambazo tumekubali na tunasonga mbele na maisha.
WaKenya watu wenye akili. Watu wa kuona mbele. Watu wa ajabu
Zebaki siyo ngumu ni kimiminika (the only liquid metal at room temperature).Zebaki yaani mercury ni chuma ngumu na nzito sana huwezi pata tu ivi ivi.
ukweli huutaki hahah😀😀😀😀😀😀
Huu ukweli wako unazidi kukudhalilisha.
aliekwambia nani ulijua tumekaa tunawatazama tu heheheheheheh 175,000km of paved road asante sana magufuli bado zile ziko under construction😀😀😀Huu ukweli wako unazidi kukudhalilisha.
Yaani road density yenu @ 9.1km/100sqm ni very low kuliko average ya SUB-SAHARAN Africa.
92% of your roads are UNPAVED and HEAVILY SUSCEPTIBLE TO RAIN
92% of your roads are UNPAVED and HEAVILY SUSCEPTIBLE to rainaliekwambia nani ulijua tumekaa tunawatazama tu heheheheheheh 175,000km of paved road asante sana magufuli bado zile ziko under construction😀😀😀
175161 km of paved road in tanzania😀😀😀