asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
Watanzania nisaidieni Tafadhali. Nyinyi huwaza kama huyu punguani?hehehe tumemsajili mchezaji wa gor mahia tumempa na range rover anasema alikua hana ndoto ya kuendesha range na alikua anadandia sacco kwenda uwanjani😀😀😀😀😀 na ile bus yenu chakavu ya tuzo