asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
Hatulalamiki. Maisha tunaendelea kuisukuma na tunaendelea kujiboresha.inaendelea kushuka wakat munazaana kama kondoo 47m people wakat tanzania ina 53.4 na ina ardhi mara mbili ya kenya 😀😀😀😀😀 huoni tofaut hapo???
WaKenya ni watu wa ajabu. Watu hatari sana. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average african/tanzanian
