Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndugu za TZ zinafurahia mabasi. BUSES yaani magari! Kwani nyinyi ni watoto? Akili yenu bado haijakua? BUSES?? ambazo zinatoka Kenya!?

MABASI ndio vitu zinazofurahisha Watanzania? WTF? Kama haingekua Ujerumani kushindwa kwenye WW2 nyinyi bado mngekua colonised!

MABASI?

BUSES??
 
Jamaa kathibitisha na kukubali zinaundwa Kenya. Hata kama ni assembling pekee yake, mbona msiAssemble kwenu?

Kenya nchi hatari. Kenya to the world
gor mahia ikipata ofisi kama hii unitag😀😀
na ukipata ofisi ya gor mahia pia nitag😛😛
8030F3D2-8DB6-453D-8F1E-7EA18510A029.jpeg
 
Ndugu za TZ zinafurahia mabasi. BUSES yaani magari! Kwani nyinyi ni watoto? Akili yenu bado haijakua? BUSES?? ambazo zinatoka Kenya!?

MABASI ndio vitu zinazofurahisha Watanzania? WTF? Kama haingekua Ujerumani kushindwa kwenye WW2 nyinyi bado mngekua colonised!

MABASI?

BUSES??
hahah ndio maendeleo ya team sio team miaka 50 haina ofisi haia kiwanja haina hata banda la choo kigari chenyewe cha kupewa na tuzo chakavu😀😀😀
 
Mjerumani anaskia vibaya sana. Angetaka sana kurudisha saa nyuma awachane na Urusi azingatie TZ.

Yaani nyinyi kuwafurahisha rahisi sana. Mjerumani anasikitika sana. Very backward thinking. Lots of easy minds to control

Ka! BUSES? MABASI na Ofisi?
 
Tengenezeni barabara kwanza.
A country twice our size with half the road network. Shame on you.
Hivi haya MABASI wanazozifurahia zinapitia vichakani? Wolololo Itabidi TZ wajikakamue vilivyo Kabla ya kujilinganisha na Kenya ama NBO

WaKenya ni watu wa ajabu. WaKenya ni critical thinkers. WaKenya ni watu ambao wataishtumu serikali yao ata kama wanaiba watengeneze nchi na rasilimali. WaKenya ni watu hatari sana
 
The biggest road project in Tanzania since independence is Ubungo flyover.
Basi ni nini ya kuringia? And sadly, zote hizo ni imported. Tanzania ya vibanda.
Here in Kenya we build our own buses. And they have thousands of kilometers of good tarmac to pass through.
 
Alar! Kumbe ni ukweli. Hii hapa site ya kiTZ
91.3% UNPAVED!

Hiyo ni A+
IMG_20180704_170316_275.jpg
 
Hivi haya MABASI wanazozifurahia zinapitia vichakani? Wolololo Itabidi TZ wajikakamue vilivyo Kabla ya kujilinganisha na Kenya ama NBO

WaKenya ni watu wa ajabu. WaKenya ni critical thinkers. WaKenya ni watu ambao wataishtumu serikali yao ata kama wanaiba watengeneze nchi na rasilimali. WaKenya ni watu hatari sana
tuje kushangaa slums kama wazungu wanavokuja kuona maajabu saba ha dunia yanayopatikana kibera😀😀😀
 
hehehhe umeona paved road in km 😀😀😀😀
175162km of paved road na nyingi zimejengwa within 10 yrs hehehhee tanzania inawaumiza kichwa
Ka! TZ kusema kweli mko chini kama nonsense
IMG_20180704_170316_275.jpg
 
The biggest road project in Tanzania since independence is Ubungo flyover.
Basi ni nini ya kuringia? And sadly, zote hizo ni imported. Tanzania ya vibanda.
Here in Kenya we build our own buses. And they have thousands of kilometers of good tarmac to pass through.
ndio akili yako ilipoishia hapo huna hata yaziada ukaongezea 😀😀😀😀 tanzania paved road in km is 175162 my friend ukitaka ushahidi useme
 
so take. 87581+35000+52581 = 175,162 km of paved road😀😀😀
View attachment 802562
Wewe punguani kweli. Sasa utaongezaje paved roads na unpaved roads zote zikue paved roads? Hiyo hapo ni site ya kiTZ (go.tz) na bado unabisha.

Watanzania huyu mtu wenu hachoki kujiaibisha. Mnyanganyeni simu/laptop

Ama maghufuli afunge internet
 
wapi wameandika unpaved road ww akili yako iko sawa hapo kuna regional roads, national roads 😀😀😀 soma maelezo vzr acha hasira kenge wewe
B0374F73-700E-4639-8CE9-0811330935FD.jpeg
 
Hata kwa hii picha yako mko chini than the average road network ya SUB-SAHARAN Africa

Na bado unajilinganisha na Kenya? Hii ni uchawi ama kawaida uko Hivi?
na hapo ukumbuke 10yrs of developments yani barabara zimejengwa hatari 175,162km of paved road na bado sijakuekea road zilizo underconstruction sasa hvi heheh😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom