asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
Povu ikijaa mdomoni waTZ wataanza kuongelea Kibera. [emoji23] [emoji23] [emoji23]tuje kushangaa slums kama wazungu wanavokuja kuona maajabu saba ha dunia yanayopatikana kibera😀😀😀
Utaambiwa mara ngapi Kibera ni a very small percentage of Nairobi ndio maana iko congested na ni slum
Tunazo slums nyingi sana Kenya, hautushtui na list utakazo leta budaaaa!
Pambaneni na Hali yenu