asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
Google?kasome google alaf uje tuendeleee







Mimi nimekupatia data ya BUSINESSES DAILY na BLOOMBERG
Google?kasome google alaf uje tuendeleee







mm nimekupa data index sasa😀😀😀😀Google?
Mimi nimekupatia data ya BUSINESSES DAILY na BLOOMBERG
go on posting renders usisahau kuedit😀😀😀Renders that are actually being realized on the ground. Na bado.
Hizo hapo ni SKYSCRAPERS sio HIGHRISE buildings
5MILLION more people are POORER than the POOR in Kenya.mm nimekupa data index sasa😀😀😀😀
Hata mkora ama jambazi wa Kenya on average ni very clever kuliko the average jambazi wa TZ.so mumesoma ili muwe wezi, mafisadi, 😀😀😀😀😀😀 kama no jobs to kenyans usifkiri ukora na ujambazi utaisha yani 40% of kenya population hawana job alaf unakuja panua mdomo wako hapa😛😛😛😛
😀😀😀😀 heheh hupendi ukweli5MILLION more people are POORER than the POOR in Kenya.
2005 Kenya %age of the poor ilikua 42%
2010 ilikua 36%
2018 iko 29%
Nafikiri unaona trend hapa. WaKenya ni watu wa ajabu. Watu ambao wanajikakamua kuboresha maisha yao. Watu ambao on average ni very clever than the average african/tanzanianView attachment 802320
uhahahah nchi inanuka shida 😀😀😀Hata mkora ama jambazi wa Kenya on average ni very clever kuliko the average jambazi wa TZ.
TZ kwa mfano, before usikie bank heist imefanyika kupitia underground tunnels itachukua maKarne na maKarne
Usicheze na waKenya. WaKenya ni watu hatari sana
look it ilala dar es salaam😀😀😀😀Awesome views of Westlands, NBO View attachment 802326View attachment 802327
Inaonekana wewe hupendi kutumia akili😀😀😀😀 heheh hupendi ukweli
below poverty line in kenya is 43%. in tanzania is 22% hahahhaa
View attachment 802340 View attachment 802341
hatari kwa umaskini na njaa mbona majambazi hawapambani na njaa sasa😀😀😀😀 njaa inaua watu kila sikuHata mkora ama jambazi wa Kenya on average ni very clever kuliko the average jambazi wa TZ.
TZ kwa mfano, before usikie bank heist imefanyika kupitia underground tunnels itachukua maKarne na maKarne
Usicheze na waKenya. WaKenya ni watu hatari sana
akili unazo ila hutaki zikubali ukweli😀😀😀😀Inaonekana wewe hupendi kutumia akili
Indimuli ni jitu gani? Hakuna anayelitambua.
Business Daily na BLOOMBERG huwezi compare data ama hata kuwazungumzia katika sentensi moja na indexnonsense View attachment 802346
Wakenya ni watu wa ajabu. Na hizi mashida bado tuko better kuwaliko. Standards of life Kenya huwezi linganisha na TZuhahahah nchi inanuka shida 😀😀😀
unemployment 40% hehee with 47million people
wakat tanzania ina 53.4m people ina unemployment rate ya 2.7% hahahhh
alaf munataka kushindana na tanzania
mko better kwenye slums na njaa??😀😀😀Wakenya ni watu wa ajabu. Na hizi mashida bado tuko better kuwaliko. Standards of life Kenya huwezi linganisha na TZ
Wakenya ni watu ambao on average ni very clever kuliko the average person in Africa/Tanzania
Hao 3million wakikufa poverty levels pia inaendelea kushuka.mko better kwenye slums na njaa??😀😀😀
kila mwaka njaa inaua watu zaidi ya million 3 alaf unasema uko vzr??? munaishi kwenye slums amabazo hata nguruwe hawez kuishi alaf muko vzr😛😛
inaendelea kushuka wakat munazaana kama kondoo 47m people wakat tanzania ina 53.4 na ina ardhi mara mbili ya kenya 😀😀😀😀😀 huoni tofaut hapo???Hao 3million wakikufa poverty levels pia inaendelea kushuka.
WaKenya ni watu wa ajabu