instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,602
- 19,781
Kabla ya kufanya yote hayo. Wawe serious kwanza na Mwendokasi.Solution ya Dar Eventually ni Elevated Railway kwa Mjini na nje ya mji ni railway pia for mass transit
Kwa Kamata lazima nyundo ihusike lakini tunnel ya njia sita mbona inawezekana kutoka bandarini kuingia Kkoo sema itabidi kuua Metre gauge upande ule wa Kkoo Station ya Metre gauge ijengwe Ghorofa mbele kidogo ya Kamata ilipokuwa karibia na shoprite
Magari yanatokea Bandari kuja Kkoo na vice versa yapite kwenye Tunnel
All in all nyundo lazima
Pia Flyover inawezekana ingawa itakuwa fupi Kutoka AIRPORT Kwenda Posta Sema flyover sio suluhisho pale pale panahitaji interchanges na sio flyover .
Solution ambayo nzuri Longterm ni kuwa na Elevated railway itayopeleka watu kutoka Kariakoo to Mbagala
Posta via Kkoo To Airport
Kkoo to Mbezi Luis (Hii itahusisha kujenga elevated station na kuua street moja au mbili za Kkoo na kuzifanya njia specfic za reli na kisha kunyanua reli kueleka Tegeta na Ubungo
Mimi bado naamini kabisa BRT system inaweza kusolve kabisa foleni hapo kamata.
Wakisimamia vzr na kuleta mabasi.
Pale gerezani au kivukoni kila dk 5 basi linaondoka kwenda gongo la mboto, mbagala, Kimara nk. Watu watapanda tu hayo mabasi.
Weekends, jmamosi na jpili. Dar hainaga foleni kabisa, kuna barabara nyingine unakuwaga mwenyew Barabarani. Basi city Centre wangejenga restaurants tofauti tofauti na clubs, watu wawe wanadrive magari yao binafsi weekend kwenye kula, kuparty city center huko, wengine beach nk
Siku nyingine kwenda kazin wapande mwendokasi.
Kibaha road ni Pana sana, watafute eneo wajenge parking ya magari, na mwendokasi zipick watu hapo kuwapeleka city center, same as Nyerere road na kilwa road,