chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,304
- 45,099
Umeme wa Kenya kwa zaidi ya Asilimia 30 unazalishwa kwa mafuta mazito ya majenereta, counties zao zote za northern hawana national grid ni mwendo wa majenereta tu, hivyo inafanya waagize mafuta mengi zaidi ya majenereta ila wasivyo na akili wanafikiri kisa mzigo ni mkubwa Mombasa inamake sense economically kitu ambacho sio kweli, Tanzania sisi umeme wa majenereta tulishaachana naoWaulize hapo kwenye port wanapitisha nini?