RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,419
- 135,060
Hao chawa waulize bandarini kuna hali gani baada ya kumpa DPW?
hawana hata habari maendeleo yaliyopo so far ila naskia kuna pesa zinapigwa pale sio mchezo 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Hao chawa waulize bandarini kuna hali gani baada ya kumpa DPW?
viwanda vya sukari vimekufa na sasa munaagiza 400,000 tons kutoka nje ambayo ni over 70% ya matumizi yenu yote😂😂😂😂😂Si ushasema zimekufa zote, nini ingine ya kubisha?
Unafurahia fainali yenye huchezi.
Haya mambo ni mageni kwenu. 😂😂😂
View: https://youtu.be/FkYg2SmM6Yk?si=f9BrqumoltlFuZPN
View: https://youtu.be/G3N2GtBROtM?si=kiOlXxni4_S_rCH3
Hata si 70% ni 100% umekoseaviwanda vya sukari vimekufa na sasa munaagiza 400,000 tons kutoka nje ambayo ni over 70% ya matumizi yenu yote😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hata si 70% ni 100% umekosea
Kwani nyie ndiyo mara kwanza infantino kuhudhuria mechi huko kwenu? Alishawahi kuja Tz katika ufunguzi wa African super league na ilikuwa ya ufunguzi pia, akili kisoda wewe.Kuna mibongolala ilkua inasema eti opening ceremony ni ya maana kuliko closing ceremony 😅
View attachment 3458076
Kumbe ulikuwa na hoja!Wacheni kuwa mangombe kurukia tu hoja.. wenzako walkua wanabisha eti opening ceremony ya chan ilkua na maana kuliko closing ceremony
Okay, post it againI post them regularly. Ama unadhani I'm hypocrite like you?
Endelea kulia wakati Lamu Port is the source of life to all Tanzanian ports currently.Source KPA data 😁😁😁
Not everyone that calls themselves an engineer is really an engineer. Jamaa alishindwa kupata kupata admission in Kenyan universities akaamua akimbilie vumbistan where he will be accepted mara that that.Engineers wenu kumbe ni failures 😁😁 halafu huyo kaja kuchukua masters ni postgraduate ko bachelor's degrees zenu ni takataka
Pingana na world Bankrudi kwenye uhalisia hapa 😂😂👇🏻👇🏻 alaf ni 2025 current data hata google earth haitambui slum kokote tanzania ila inaitambua kenya ww huogopi? so google earth pia inadanganya unless uwe hujui maana ya slum
Hizo ndio punda na Ngamia?