stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,725
- 15,618
We shugulika na hii Makwapa stadium yenu. Stadium iko na viti za Mganga na roofing inakaa kibandaunamalizia nn sasa apo zaidi ya more plastic chairs, infact wameona isiwe tabu wameweka mpaka foldable plastics 🤣 🤣
Imagine mmekuwa desperate mpaka mnatafuta picha za 2016 , ebu tuleteeni kasarani ya 2016.We shugulika na hii Makwapa stadium yenu. Stadium iko na viti za Mganga na roofing inakaa kibanda
View attachment 3570285