Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hajatajwa polepole hapo tunamzungumzia mwinyi aliekua wizara ya ulinzi kwa miaka zaidi ya 10

jamaa ni pure kiongozi ambae hataki makelele mengi yeye ni kazi tu kimya kimya zanzibar hio inapaaa, huyu ndie alitakiwa awe rais wa tanzania
Baada ya nyie Wazalendo kuwatimua Wazungu kwenye mradi wa Lindi LNG mama akawaleta na kusainiana hatua za swali.

Hadi saizi mloshamkwamisha kwamba anauza Mali za Tanganyika Kwa Waarabu 🤣 🤣

Nyie ni wa kuachwa hivi hivi mtaleyewa maendeleo na Polepole.

Mwinyi haogopi Waarabu Wala Wazanzibar hawawaogopi,amekofisha visiwa vyote ,huku Bara mama amejaribu kuwaleta investors Ngorongoro mkasema ameuza mbuga zenu Kwa Waarabu 😂😂😂
 
Picha ya siku

1756539830740.png
 
Are you aware that according to World Bank Tanzania has 28M people who are extremely poor? Yani heri wale omba omba wenu wanakuanga huku Kenya, hao extremely poor ni the likes of those Tanzanians that are eating monkeys and dogs.

Sasa for moderate poverty, there are another 32M Tanzanians in that bracket. If you add those two brackets you find that there are 60M poor Tanzanians in a population of 65M, the remaining 5M people that are not poor are the politicians, Indians, Arabs, Chinese and Kenyans staying in Tanzania.
Lakini kenya ndo sehemu ambako watu wanakufa kwa njaa kama kuku mwenye mdondo
 
Baada ya nyie Wazalendo kuwatimua Wazungu kwenye mradi wa Lindi LNG mama akawaleta na kusainiana hatua za swali.

Hadi saizi mloshamkwamisha kwamba anauza Mali za Tanganyika Kwa Waarabu 🤣 🤣

Nyie ni wa kuachwa hivi hivi mtaleyewa maendeleo na Polepole.

Mwinyi haogopi Waarabu Wala Wazanzibar hawawaogopi,amekofisha visiwa vyote ,huku Bara mama amejaribu kuwaleta investors Ngorongoro mkasema ameuza mbuga zenu Kwa Waarabu 😂😂😂
hatua za awali kila siku ana miaka mitano ofisini bado tu hajaleta wawekezaji wakaanza kazi kila siku ni hatua za awali😂

mwinyi anafanya kazi nzuri zanzibar ni mji wa kitalii haiwezekani island iko idle haina shughuli yoyote asivikodishe watu wakajenga 5star hotels wazanzibar wakapata kazi na kodi kukusanywa kwa maendeleo ya zanzibar

yani jamaa anafanya maendeleo yanaonekana sio kwetu huku nasikia magari yote ya kifakhari yanamilikiwa na huyo kijana munaemjua 😂😂😂😂😂

mpaka ile buggati chiron nasikia iko kwenye ukoo wa uongozi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

kijana katoka kwenye 0 to multi billionare in just 3 good years wakat kuna wazee kama kina bakhresa wamezitafuta over 50yrs alaf muko hapa munalilia maendeleo
 
hajatajwa polepole hapo tunamzungumzia mwinyi aliekua wizara ya ulinzi kwa miaka zaidi ya 10

jamaa ni pure kiongozi ambae hataki makelele mengi yeye ni kazi tu kimya kimya zanzibar hio inapaaa, huyu ndie alitakiwa awe rais wa tanzania
Wizara ya Ulinzi haina makelele.

Mkitaka muone mtu anatumia akili, mpeni TAMISEMI, Mambo ya ndani, Utumishi au Ujenzi na uchukuzi.
 
uongozi ni utayari na uaminifu kaka shida ya watu wanaopewa dhamana hio wanataka madili tena makubwa wahusike
Mwinyi ana tofauti gani na hilo.

Amekodisha visiwa vyote Zanzibar. Amempa Bakhresa maeneo amejenga majumba (Fumbo town) anauzia Wazungu tu.

Wazanzibar wako wapi??

Wanapumulia bara tu.
 
Mwinyi ana tofauti gani na hilo.

Amekodisha visiwa vyote Zanzibar. Amempa Bakhresa maeneo amejenga majumba (Fumbo town) anauzia Wazungu tu.

Wazanzibar wako wapi??

Wanapumulia bara tu.
amekodisha ila watu wajenge mahoteli wazanzibari wapate ajira na mapato au ww hujawah kufika znz? znz visiwa vingi viko so idle so kwann asiviendeleze

so azam kama inveator hapasi kupewa eneo akafanya investment? mbona hulalamiki alivopewa eneo bagamoyo sugar leo imesaidia kuongeza uwepo wa sukari nchini na ajira kupatikana na kodi kukusanywa na sasa nafanya phase 2 kuongeza uzalishaji mpaka tons 300k a year
 
Wacheni kuwa mangombe kurukia tu hoja.. wenzako walkua wanabisha eti opening ceremony ya chan ilkua na maana kuliko closing ceremony
Ni sahihi wewe unachobisha nini!?
Jambo linapoanzia ndio lina maana zaidi kuliko linapoishia.
Utamuheshimu aliyevumbua simu au aliyeiendeleza simu kwa kuunda Smart phone!?
 
amekodisha ila watu wajenge mahoteli wazanzibari wapate ajira na mapato au ww hujawah kufika znz? znz visiwa vingi viko so idle so kwann asiviendeleze

so azam kama inveator hapasi kupewa eneo akafanya investment? mbona hulalamiki alivopewa eneo bagamoyo sugar leo imesaidia kuongeza uwepo wa sukari nchini na ajira kupatikana na kodi kukusanywa na sasa nafanya phase 2 kuongeza uzalishaji mpaka tons 300k a year
- Basi sera zetu za uwekezaji, ardhi, sheria ya raslimali, sheria za kuzuia wafanyabiashara wageni kwa biashara ndogo hazina maana.

  • Turuhusu yoyote aje amiliki ardhi, wapewe uraia pacha.
  • Tuwape mashamba makubwaaa, walime pamba, Mahindi, Maharage, Chai

- Sisi watujengee nyumba kama PIPELINE watupangishie tuishi hapo, halafu tunawafanyia hizo unazoita kazi kwenye mashamba yao ya MKONGE

Maana inaonesha bado hatuelewi.

Tutakuwa tunaenda kutalii huko kwenye majumba yao ya kifahari kupiga picha na kutamba mitandaoni kama Kenya.

Screenshot_20250830_110617_X.jpg
Screenshot_20250830_110551_X.jpg
Screenshot_20250830_110532_X.jpg
 
- Basi sera zetu za uwekezaji, ardhi, shwtia ya raslimali, sheria za kuzuia wafanyabiashara wageni iwa biashara ndogo hazina maana.

  • Turuhusu yoyoye aje amiliki ardhi, walewe uraia pacha.
  • Tuwape mashamba makubwaaa, walime Oamba, Mahindi, Maharage, Chai

- Sisi qatujengee nyumba kama PIPELINE watupangishie tuishi hapo, halafu tunawafanyia hizo unazoita kazi kwenye mashmba yao ya MKONGE

Maana inaonesha bado hatuelewi.

View attachment 3458451View attachment 3458452View attachment 3458453
hvi wewe sheria unazielewa kweli? manake tusiwe tunabishana for no reason
 
Back
Top Bottom