Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe kiande nini kwani wawekezaji wa huo mradi huo mradi hawakuepo na kama wewe ni msikilizaji wa bajeti serikali ilishaamua kuanza kuutekeleza yenyewe bila mwekezaji bajeti ya 2024/2025
Umeshaanza kuita watu Viande, huna hoja.

Ile siyo bandari, ni SPECIAL ECONOMIC ZONE, ambao itahusisha Bandari kubwa, maduka, viwanda 700, etc.

Ni mradi wa $10billion, zaidi ya Trilioni 25.

Serikali ina uwezo wa kuanza tu, ila kutekeleza mradi wa pesa kama hiyo kwa makusanyo ya ndani pekee ni ngumu.
 
Endelea kulia wakati Lamu Port is the source of life to all Tanzanian ports currently.
Lamu hii? Iliopitwa mara 100 na Tanga port?


View: https://x.com/maelezonews/status/1960615214765756462?t=f8C5OXMVtUuKCKsqg4n5Ew&s=19

Screenshot_20250830-093323.jpg
 
Actually kwenye highways zetu trucks ni nyingi kuliko private cars by far, unapishana na trucks 50 private cars 10 kwa Africa nafikiri Tanzania ipo top 3 kwa wingi wa trucks
Mitanganyika kwa kujifariji hamjambo 😂
 
Umeshaanza kuita watu Viande, huna hoja.

Ile siyo bandari, ni SPECIAL ECONOMIC ZONE, ambao itahusisha Bandari kubwa, maduka, viwanda 700, etc.

Ni mradi wa $10billion, zaidi ya Trilioni 25.

Serikali ina uwezo wa kuanza tu, ila kutekeleza mradi wa pesa kama hiyo kwa makusanyo ya ndani pekee ni ngumu.
Wewe ndo unajua kuliko mwigulu aliyesoma bajeti ya 2024/2025?
 
Hivi wewe umeenda hata kindergarten kweli? Postgraduate anakosaje admission ya master's degree?
Anybody who have graduated from a bachelor degree is considered a postgraduate whether they got Distinction, First Class, Second Class ama PASS.

Those who come to Tanzania for Master Degree hao ni wenye walipata "PASS" huku Kenya.

In Kenya you can't do a Master degree with a "PASS" at the bachelor level.
 
Mkiambiwa health sector yenu ipo mkiani mnakasirika, Tanzania vitu kama hivi ni grassroot level


View: https://x.com/mkushi_jiga/status/1671893302428200960?t=xH5xTWpc0gm_OTUI-TdtQg&s=19

The problem with you people is, you think life begins and ends in Tandale





View: https://x.com/ntvkenya/status/1021704709529366528?t=QTGe3tH4t524Q6Y8UGRNnQ&s=19
 
Kama una ubavu leta data za TRA waliopo mipakani, nioneshe tu trucks 10 zikitoka Mombasa port to Kilimanjaro and Arusha nikuoneshe trucks 2000 from Tanzania to Kunyaland
Hiyo ni KAZI yako to prove us wrong. I have already did my part by showing you report of entire Northern Tanzania using Mombasa Port. I have also shown you reports of Lamu Port doing transhipment to all Tanzanian ports.
 
Kenya ndo most poorest country imagine mpaka karne ya 21 watu wanakunya kwenye mifuko na kufa kwa njaa
Are you aware that according to World Bank Tanzania has 28M people who are extremely poor? Yani heri wale omba omba wenu wanakuanga huku Kenya, hao extremely poor ni the likes of those Tanzanians that are eating monkeys and dogs.

Sasa for moderate poverty, there are another 32M Tanzanians in that bracket. If you add those two brackets you find that there are 60M poor Tanzanians in a population of 65M, the remaining 5M people that are not poor are the politicians, Indians, Arabs, Chinese and Kenyans staying in Tanzania.
 
Haogopi kuleta Waarabu mnaomwambia Samia anauza Tanganyika yenu 😁😁

Kina Polepole watawaletea maendeleo usijali.
hajatajwa polepole hapo tunamzungumzia mwinyi aliekua wizara ya ulinzi kwa miaka zaidi ya 10

jamaa ni pure kiongozi ambae hataki makelele mengi yeye ni kazi tu kimya kimya zanzibar hio inapaaa, huyu ndie alitakiwa awe rais wa tanzania
 
Back
Top Bottom