Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu nionyeshe punda na ngamia ukiwa CBD ya Nairobi, Mombasa ama Kisumu.
1756484522559.png
 
Umeme wa Kenya kwa zaidi ya Asilimia 30 unazalishwa kwa mafuta mazito ya majenereta, counties zao zote za northern hawana national grid ni mwendo wa majenereta tu, hivyo inafanya waagize mafuta mengi zaidi ya majenereta ila wasivyo na akili wanafikiri kisa mzigo ni mkubwa Mombasa inamake sense economically kitu ambacho sio kweli, Tanzania sisi umeme wa majenereta tulishaachana nao
mzigo mwingi ni chakula na mafuta tuu
 

Tender Details​

Download Tender Documents
  • Country: Tanzania
  • Summary: Proposed Construction of Tanzania Revenue Authority (Tra) Iconic and Ultra Modern Office Building in Dar Es Salaam
  • TZT Ref No: 120496496
  • Deadline: 04 Jul 2025
  • Competition: ICB
  • Financier: Self Financed
  • Purchaser Ownership: Public
  • Tender Value: Refer Document
  • Notice Type: Tender
  • Document Ref. No.: TR134/2024/2025/W/03
  • Purchaser's Detail :
  • Purchaser : TANZANIA REVENUE AUTHORITY
    Tanzania
    [Disclaimer : For Exact Organization/Tendering Authority details, please refer the tender notice.]
  • Description :
  • Proposed Construction of Tanzania Revenue Authority (TRA) Iconic and Ultra Modern Office Building in Dar es Salaam
    Tender Category: Works
    Tender Sub Category: Medium and Large Works
  • Documents :
  • Tender Notice

View: https://www.tiktok.com/@explorewithbertin/video/7306061578800057605
 
yani tungepata hichi kichwa nchi ingenyooka na tungekua mbali sana aisee🙌🏻
Hapana.

Umakini unatakiwa.

Huko duniani pesa zipo nyingi tu, kama utataka kuwapa kila wanachotaka.

Hoja ni watu wako wanapata nini.

Nenda Fumba town, hakuna Mzanzibar.
 
Issue sio foleni kubwa inatokea wapi, issue ni kuondoa foleni. Ile njia kumbuka inaongoza kuwa na misafara ya ajabu ajabu, kinachotakiwa ni kufanya maarifa kupunguza muda wa raia kukaa barabarani, inawezekana foleni kubwa ni kutokea posta kuja airport lkn foleni hiyo inatokana na uwepo wa foleni ndogo ya kutokea kkoo, hivyo basi ukitengeneza means ya kuepusha magari ya kutoka kkoo kukutana na ya kutoka posta (kwenye foleni kubwa) utakuwa ume curb tatizo si ndiyo?
TANROADS wanajenga barabara nyembamba sana. Tena hawaheshimu kabisa walking lanes, hawazipi umuhimu kabisa.

Na TARURA ndio kabisa siku hizi hizo barabara zao wanazoita lami, ni kokoto iliyochangamka
 
Back
Top Bottom