Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inasikitisha sana wakati yeye ndio anafanya kila siku wakose raha.

Maana unakuta kuna eneo unajaribu kusingizia unakuta kisingizio chako hakina mshiko, kuna mwamba alidili hapo mpaka pakatulia miaka 6.
Kuna watu wanakuwa na akili kama za "baadhi" ya wanawake, ile tabia ya kudhani vitu vinatokea tuu kimiujiza. Usivione vya elea bana.

Kama hiyo ishu ya sukari, Bakhresa alipopewa shamba, alikataa kwa kumwambia Magu, sisi siyo wakulima, ni wafanya biashara. Ilibidi Magu achukue risk kubwa ya kumuwezasha, ili kumshawishi Bakhresa aingie kwenye biashara hiyo, kuiokoa nchi na wahuni waliokuwa wanaleta sukari mbovu.
 
Hatari sana, Kingine it's funny

Unakuta wanaenda kusaini now madini, kutumia mapato ya madini kwenye kampeni na kujipa ujiko kwa kila benefits za madini. Ila ukiangalia vizuri zote zinawezekana Baada ya Maamuzi magumu 2017, kuweka hizo sheria zote tatu kipindi hicho zilikua verify risky na daring sana.

Huyo Lissu alikua mbele tutashitakiwa MIGA, wapuuzi kina Sarungi, Bi Karume na wengineo walijaa kukosoa imagine upo unapinga sheria hizo eti kisa mzungu hatawekeza (wakimaanisha wanataka mzungu aendelee kuja na asilimia 5%, amiliki milele, nchi hainufaiki) kisa tu humpendi Mzee.

Funny things sakata la DP WORLD guess what hao wapuuzi ndio walikua watetezi wa hizo 3 laws pale Samia alipotaka kuzirekebisha ili DP WORLD aingie.

Yaani unakuta mijitu kila siku kuimba TUMEUZWA TUMEUZWA TUNAUZWA etc

While kwa hizo Sheria Tatu haiwezekani kuuzwa kabisa anything ukiona Unconscionable terms unaweza review and renegotiate, plus ikiwa deemed haifai serikali inaexercise PERMANENT SOVEREIGN right.

Kikwete wimbo ulikua tumeibiwa tunaibiwa etc Mzee akavaa roho ngumu kwa manufaa yetu still tunalia tumeuzwa.

Niwe HONEST whatever SAMIA anafanya kuwapa DP WORLD, waarabu mwendokasi and anything.

As Long hizo sheria 3 zipo I don't think kuna tatizo maana huyo yoyote aliyepewa ni suala la muda kutimua.

Alafu si walikua wanalia eti tunashitakiwa MIGA.

Now hizo Sheria 3 zinafanya MIGA useless ni kama Sheria yetu ya Wafanyabiashara na EAC community
 
Hii dunia imejaa mijitu ya ovyo na minafiki sana ndio maana it's better ukazie inshu zako unazoona ni sahihi hata kama wengine hawaoni. Sababu unaweza kuta wao wanaendeshwa na hisia zaidi.

JNHPP kipindi tunaanza kelele ilikua everywhere wazungu, na wajinga wa nchi, Mazingira mazingira, mara UNESCO Site, mara mvua haitanyesha. Mara eti tuendelee na Gas wakati unajua kwa Gas wanasubiri LNG deal tuanze inunua kwao usenge sana.

Ila Mzee alikaza kwa sababu aliamini, Sina baya na Samia aliendeleza hakusimama I give her credit.

Now tuna Bwawa hao mburukenge ndio wanatuletea kelele these days kuwa GOOD JOB TANZANIA nye nye nye.

Hao wajinga wa ndani so shameless now wanachaji simu umeme wa uhakika kutukana 24hrs.

Well I gonna say ukikaa ufikirie vizuri SAMIA hana shida anapiga kazi maana si shaka kuna nchi ya Jirani (Kunyans) ni mfano tosha kuna Miradi ya Kibaki uhuru alishindwa ya Uhuru na Kibaki Ruto imemshinda na ni very strategic.

Ila Samia ameimaliza yote nimpe kongole, tatizo ni approach waliyochagua kumvalidate imekaa kinafiki noisy na uchawa so it backfires kila siku as long as shida ikitokea ikawa kero huku kuna mpuuzi kasema "MAMA HATUMDAI" automatically Mama anaonekana hayupo serious.

Wachange approach wawe smart punguza mabango na uchawa, acha kazi ziongee huenda hata akawa Raisi mwingine wa 3 best ever.

Mimi naona a long as Mama hagusi hizo Sheria 3 na dili zinaingia aendelee tu tutamwelewa Mbeleni.

Maana hata Magufuli kuna wapuuzi hawakumuelewa mpaka baadae ndio walimwelewa now tunaongea lugha moja
 
Kuna nchi itawachukua miaka 100 kufika hapa

1756554033416.png
 
Kelele siyo UADUI.

Unatakiwa kujua kelele zinatokanana HOFU, maana tumeshapigwa sana na pia kelele zinatokana na kubahatisha maana hayo makubaliano hayako wazi
 
Unaamini kama kuna CCM mtandao?
Kaka mitandao katika nchi haiwezi kukosekana. Nchi isiyokuwa na mitandao ni nchi mfu. Tangu kipindi cha Nyerere mitandao ilikuwepo.

Mimi sioni tija ya kuanza kuzungumzia mafanikio ya watu wengine Negatively. Sijajua ni kitu gani mnachokiongelea.
 
Back
Top Bottom