Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wawekezaji wanakuja na mambo yao.

Na nyie mnaenda na ya kwenu, mnakutana mnazungumza.

Magu alipanic tu.

Alitakiwa kuwaita awakabe wazungumze.

Maana mikataba mingi aliyo-negotiate ilienda vizuri.

Leo kila mgodi unaokuja TZ, serikali inapata automatic hisa za 16%-20% bure.

Tunanunua dhahabu na tumeshaanza kuwafosi, wafanye refinery ya angalau 20% ya dhahabu nchini.
Sawa magu kafa mama aliufufua mbona akaupiga chini?
 
Dar port bado inatoa mzigo mwingi,usidanganyike na vidata fake vya kupikwa,kwa macho tu angalia kampuni za logistic zilivyo nyingi na zote zinapiga kazi,uwingi wa gari za IT,uwingi wa trucks za kigeni kutokea zambia,malawi,burundi,rwanda na congo,TZ uwa atuwezi kupika data
Actually kwenye highways zetu trucks ni nyingi kuliko private cars by far, unapishana na trucks 50 private cars 10 kwa Africa nafikiri Tanzania ipo top 3 kwa wingi wa trucks
 
Akili pekee ndio huwa huna. Who told you share of the lake determines the size of the business? Tanzania has longer shoreline than Kenya but Mombasa port alone does more business than all Tanzanian ports combined.
nioneshe hiyo business mlioipita Tanzania kwenye lake Victoria
fcf1e9d95e89683f192631c0ca5489fc.jpeg
IMG_4309.jpeg
maxresdefault (1).jpg
nilas-asara-fileja-ba-300-500-tanzanija-6-kg-iqf-0--6356617-1000x1000.jpg
Screenshot_20250830-072623.jpg
 
Hajaupiga chini.

Watu bado wanatafuta mwekezaji mzuri, miongoni walioonesha nia.

Huwezi kupiga chini mradi kama ule.
Wewe kiande nini kwani wawekezaji wa huo mradi huo mradi hawakuepo na kama wewe ni msikilizaji wa bajeti serikali ilishaamua kuanza kuutekeleza yenyewe bila mwekezaji bajeti ya 2024/2025
 
Back
Top Bottom