babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,441
- 36,074
Hawana mradi wowote wa maana wanaoufanya tangu mwaka uanze. 😂😂😂Ivi hawa wazee kipondo wanagawiwa cha 2025 ila sasa wanaenda kutafuta something of past dah.
Bastards wanatabirika these days
Viaffordable housing, Talanta, expressway then bragging za ovyo basi