ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
sikiliza hii ng'ombe ya kikuyu 😂😂😂😂Huyo ni amateur,at that age kama huchezi ball Europe huna talent kabisa.
sikiliza hii ng'ombe ya kikuyu 😂😂😂😂Huyo ni amateur,at that age kama huchezi ball Europe huna talent kabisa.
alipanic wapi bana zungumzeni ukweli hakuna mtu atasaini mkataba kama huu labda kichaa tu
View: https://www.instagram.com/p/DNTwcMeNljr/?igsh=NDd4c3RnMG8yaXkx
hii ni habari kubwa sana kwenu kwasabbau hamujazoea 😂😂😂😂Kuna mibongolala ilkua inasema eti opening ceremony ni ya maana kuliko closing ceremony 😅
View attachment 3458076
wale walishakuja na masharti yao na hakukua na marekebisho kwasabbau walishawasilisha wanayoyataka ndio maana jamaa akaamua kuutupilia mbaliSijasema ulikuwa mkataba mzuri.
Ninachosema wao waliandika walichotaka.
Na serikali ilitakiwa kusema inataka nini.
Wakutane mezani.
Kwani mikataba huwa inajadiliwa vipi?wale walishakuja na masharti yao na hakukua na marekebisho kwasabbau walishawasilisha wanayoyataka ndio maana jamaa akaamua kuutupilia mbali
kuna vitu vingine kama kiongozi hutakiwi kupepesa macho mbona mkataba haujarudi na awamu hii watu wanatembea na sahihi zao mkononi
kwanza ufisadi ulianzia kwenye kulipa watu fidia billion 115 zimeliwa na fidia utakuta hata billion 5 hazifiki kwa kipindi hicho yani huo mradi kwa lugha fupi ilikua ni moja ya disaster kubwa kuwahi kutokea kwenye nchi hiiKwani mikataba huwa inajadiliwa vipi?
Si ushasema zimekufa zote, nini ingine ya kubisha?
Kuna mibongolala ilkua inasema eti opening ceremony ni ya maana kuliko closing ceremony 😅
View attachment 3458076
🤣🤣🤣 unajitia vidole unanusa halafu unacheka mwenyewe.Before I saw the 3 blue towers , I thought it was Mombasa ( but Mombasa got more taller buildings outside of downtown). Facts
View: https://youtu.be/WCQJpMaLkh4?si=EM2VksIWUYiS_cQh nyau hii ilikua open ceremony kwa mkapa miaka miwili iliyopita,hakuna kigeni maku ww
Unafurahia fainali yenye huchezi.Kuna mibongolala ilkua inasema eti opening ceremony ni ya maana kuliko closing ceremony 😅
View attachment 3458076
Wangese kila wanachoona wao kipya na kuja kutamba nacho humu,kumbe kwetu kilishafanyika zamani sanaNyang'au akina mwathadan kweli wako nyuma ya muda ha ha ha😂
Nakaa kwenye kaburi la Magufuli.Jaluo.
Unakaa wapi?
Migori, Homabay, Kisumu au Kibera na Mathareee
And every Tanzanian is dreaming to have one of such houses 😂😂😂Shida yao slums wanaita dream houses. 🤣 🤣 🤣
What about 70% of 70M for Tanzania?Kama 51% ya watu 70m wanaishi kwenye slum kuna nini kilicho baki
Sasa wewe Watchman unajua nini ndio upinganw na world bank?No slums in Tanzania, don't drag us into your sickening poverty.View attachment 3457728
Wanakwambia sidewalks zipo huko juu, na kweli naona watu wanapita kwenye sidewalks wanapishana na magari kama hawana akili nzr 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hawa ndio matajiri angalia kazi hio yani muda wowote ngoma inateremka 😂😂
vitu vidogo kabisa kama hvi vinawatoa kamasi🙌🏻🙌🏻🙌🏻 shoddy works
View attachment 3457874View attachment 3457875
View attachment 3457882
Tender Details
Download Tender Documents
- Country: Tanzania
- Summary: Proposed Construction of Tanzania Revenue Authority (Tra) Iconic and Ultra Modern Office Building in Dar Es Salaam
- TZT Ref No: 120496496
- Deadline: 04 Jul 2025
- Competition: ICB
- Financier: Self Financed
- Purchaser Ownership: Public
- Tender Value: Refer Document
- Notice Type: Tender
- Document Ref. No.: TR134/2024/2025/W/03
- Purchaser's Detail :
- Purchaser : TANZANIA REVENUE AUTHORITY
Tanzania
[Disclaimer : For Exact Organization/Tendering Authority details, please refer the tender notice.]- Description :
- Proposed Construction of Tanzania Revenue Authority (TRA) Iconic and Ultra Modern Office Building in Dar es Salaam
Tender Category: Works
Tender Sub Category: Medium and Large Works- Documents :
- Tender Notice
View: https://www.tiktok.com/@explorewithbertin/video/7306061578800057605