Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani tungepata hichi kichwa nchi ingenyooka na tungekua mbali sana aisee🙌🏻
Hapana.

Umakini unatakiwa.

Huko duniani pesa zipo nyingi tu, kama utataka kuwapa kila wanachotaka.

Hoja ni watu wako wanapata nini.

Nenda Fumba town, hakuna Mzanzibar.
 
Issue sio foleni kubwa inatokea wapi, issue ni kuondoa foleni. Ile njia kumbuka inaongoza kuwa na misafara ya ajabu ajabu, kinachotakiwa ni kufanya maarifa kupunguza muda wa raia kukaa barabarani, inawezekana foleni kubwa ni kutokea posta kuja airport lkn foleni hiyo inatokana na uwepo wa foleni ndogo ya kutokea kkoo, hivyo basi ukitengeneza means ya kuepusha magari ya kutoka kkoo kukutana na ya kutoka posta (kwenye foleni kubwa) utakuwa ume curb tatizo si ndiyo?
TANROADS wanajenga barabara nyembamba sana. Tena hawaheshimu kabisa walking lanes, hawazipi umuhimu kabisa.

Na TARURA ndio kabisa siku hizi hizo barabara zao wanazoita lami, ni kokoto iliyochangamka
 
Hapana.

Umakini unatakiwa.

Huko duniani pesa zipo nyungi tu, kama utataja kuwapa kila wanachotaka.

Hoja ni watu wako wanapata nini.

Nenda Fumba town, hakuna Mzanzibar.
sema mwinyi amejitahidi sana kuiboresha znz yani znz imebadilika sana tena sana, jamaa ni very silent lakini kazi inaongea yani huyo tungempata tanzania bara kwanza nchi ingenyooka na tungepita hatua hata mara tano ya sasa
 
Dar skyline
IMG_0836.jpeg
IMG_0843.jpeg
IMG_0832.jpeg
IMG_0954.jpeg
IMG_0834.jpeg
 
Back
Top Bottom