ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,145
- 3,333
Mbona ninyi ndio wa kwanza kulalamika ,Mtanzania kwanza ndio baadaeee east AfricaMpo EAC kishingo upande.. eac inaruhusu free movement of people, labour and services ila kila wakati nyinyi ndo wa kuja na vikwazo. Mbna msijitoe EAC kama mnaona mnalazimishwa?