Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wauliza tangu Ruto aingie wame-violate mara ngapi common market protocol?
chrome_screenshot_Jul 31, 2025 5_02_15 PM GMT+03_00.png

Hebu tuanzie hapa
 
mjinga wewe huna akili how can a tanzanian begger aingie kenya bila passport unless nyinyi hamuna nchi muna guest house ya kunyanduana tu 😂😂😂😂😂
Have you heard of illegal immigrants? Are you a legal or illegal immigrant in Tanzania?
 
Ungekuwa na akili ungejua clubs do sign higher sponsorship deals than leagues. Lakini ng'ombe ni ng'ombe tu.
In 2024, Gor Mahia’s primary shirt sponsorship revenue was KSh 80 million from SportPesa.

The total value of the three-year deal (2023–2025) is KSh 240 million.

Additional non‑cash benefits include kit supply, insurance, and continental competitions support.

Kwani kuna sponsor mwingine hapo
Hiyo ni pesa ambayo anatoa sponsor wa chini kabisa wa simba 620,000 usd versus 700,000 usd kutoka sandaland sports wear 🤣🤣🤣🤣.
Kwa hela hiyo mtalipa wachezaji kweli
 
hahaha hersi humuwezi wewe kaangukia pua makamba gwiji itakua hersi😂😂😂
Brother hersi humjui vizuri wewe vizuri, unafuata tu mahaba ya Yanga. Tukikuuliza kiundani huwezi kutoa jibu lolote. Sasa hivi hutamuona tena anajihusisha na Yanga. Plan yake failed. Watu walikuwa wanamchora tu na kumpatia sifa za kijinga. Watu hawajasahau aliwaita wala mihogo. Yaani wewe ni kiongozi unawaita wanachama wako wala mihogo!!!?
 
Kwa sababu hawana uwezo wa kulipia timu unawaita wala mihogo!!? Who are you in this country? Wapiga kura wa CCM unawaita wala mihogo!!?
 
Kwa sababu hawana uwezo wa kulipia timu unawaita wala mihogo!!? Who are you in this country? Wapiga kura wa CCM unawaita wala mihogo!!?
Zamani nyakati za utumwa ndio watu walikuwa wanabebwa juu huku watu wakitembea? Yeye ni nani katika zama hizi kubebwa juu juu kwenye kiti kama mfalme Tanzania? Watu walikuwa wanakusanya taarifa tu. Yeye alidhani watu wamesahau. Na kuna mengi tu nje ya pazia
 
Kiongozi wa CCM anatakiwa kuwa mnyenyekevu kwa wanachama wake.
 
Wanusa gundi wanalia kwa ujumla viongozi wananchi kwa pamoja wanalia kisa sheria za Tanzania inaonekana Kenya ni mkoa wa Tanzania ila hatujui watu wanasema wanauchumi mkubwa karibia mara mbili yetu sasa wanalia nini wanalilia
Nahisi ni tour guide kule Arusha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tanzania ina GDP ndogo.

Mashirika ya kimataifa yako Kenya.

Kenya ina maghorofa mengi.

Sarafu ya TZ ina thamani ndogo.

Tumechukua action kidogo sana, tangu jana Kenya ni MATAMKO na PESS mfululizo.

View: https://youtu.be/fYJVJsw_qz0?si=7q43LAB2HepWlfrE

unachinga kweli walikuwa wanatutukana kuwa wachina wanafanya umachinga haya sheria imetungwa wao ndiyo wa kwanza kulia kila kona ya nchi nimeamini bila Tanzania hakuna nchi inayoitwa Kenya
 
Back
Top Bottom