President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,379
tafuta gari imechorwa ruto tanzania 😂
View: https://www.instagram.com/p/DMu1tOOIXtu/?igsh=MTN6c3JkdnpldzRrag==
Raia wa Kenya ndoto yao ni kufika na kufanya kazi Tanzania. Viongozi wao wanawapatia virtual life kwa manufaa yao ya kisiasa. Hawataki kuwaambia ukweli