concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,312
- 14,339
Wawafukuze hao viwete wanaosema ni WA kwetu , kwanza hiyo biashara ni illegal inakuwaje wanawahifadhiAlafu wanatutusi wakituita maskini, alafu maskini akikaza nati tajiri anatoa milio, sasa nani ni maskini hapa? Kenya ni Mexicans wa East Afrika, always dreaming to have an entry of a promised land the USA of East Afrika, the Tanzania Dream. Serikali ishikirie hapohapo, wakiachia na sisi tunakinukisha, tumechoka dharau kwa watu tunaowalisha.