Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani ata hujui tofauti ya villages na households
Enyewe hapa mnaongea na mafala.
All villagers in Kenya are connected 100% as by 2019.
Households we are approaching 90% 2025
Nationally, 58.1% of households are connected to the electricity grid, but rural areas face significant barriers, with only 37.3% having access compared to 91.0% in urban areas Re
 
wakomunisti ndivyo wanavyowadanganyeni huko nyie kenge wa mama.
Kwikwikwikwi Tanzania is a Socialist.
Check hapa uumie zaidi

1754043623401.png
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Bongo kuna misukule
 

View: https://vm.tiktok.com/ZNd9NsHCD/
Nyau za north zimechafukwa balaa,hivi TZ ni nchi yao hadi waipangie cha kufanya,sheria ya TZ imekua hoja ya kitaifa ukundustan!

Badala ya kuwa polite na kuwa na behaviour ya respect, wao na serikali yao wanakuwa arrongant wanadhani wataitisha Tanzania. 🤣 🤣 🤣 🤣
Yaani kwa uwazi uwazi kabisa Serikali yao inawasaidia wale waliopo kwenye mitandao kutukana na kutoa maneno machafu dhidi ya Tanzania.
1. Waziri wao anakuwa arrogant
2. Katibu wa EAC ambaye ni mkenya very arrogant.
 
That capacity you have stated is just our consumption. Your consumption is barely 1300MW.
Endelea kujidanganya ili upate furaha ya muda maana ndio mnachojua hicho Next mtasikia tumewapita kama supersonic missile.

NATIONAL ENERGY COMPACT FOR UNITED REPUBLIC ...​


World Bank
https://thedocs.worldbank.org › doc › original


PDF

Maximum electricity demand reached 1,888.72 MW on November 26, 2024, up. 14.9 percent from the peak in 2023. Given expected demand growth of 5 to 10 percent ...
 
Are you aware that only 37% Tanzanians are connected to electricity? Do you have electricity in your house?
Haya piga hesabu 37% connected ila demand ni 1900MW
Nyie 98% connected demand 2300MW.
Piga hesabu uone nani anatumia umeme mwingi per person. Kenya walipaswa watumie 5000MW ili kuwa sawa na consumption ya TZ per person which means TZ wanatumia umeme 2.2 times than Kenya per person na hii ndio inayo account for discrepancy in industrial production between these two countries.
 
Haya piga hesabu 37% connected ila demand ni 1900MW
Nyie 98% connected demand 2300MW.
Piga hesabu uone nani anatumia umeme mwingi per person. Kenya walipaswa watumie 5000MW ili kuwa sawa na consumption ya TZ per person which means TZ wanatumia umeme 2.2 times than Kenya per person na hii ndio inayo account for discrepancy in industrial production between these two countries.
Mwambie Dar pekee inatumia 600MW+
 
Back
Top Bottom