Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Unaweza kuelezea kiufupi kwa nini hawafai kuolewa?Hawa watutsi ni wazuri tu nje ila hawafai kwenye kuolewa, kama huyu sidhani kama itadumu hata miaka miwili
Unaweza kuelezea kiufupi kwa nini hawafai kuolewa?Hawa watutsi ni wazuri tu nje ila hawafai kwenye kuolewa, kama huyu sidhani kama itadumu hata miaka miwili
Nimemuona mtu kama Teargass hapo, au ni macho yangu yamenidanganya😏Ila Kenya wananchi wana maisha magumu sana
View attachment 3427225
Hii pot ni man kweli kwa ufahamu wako?Show me a Tanzanian fabricator who has made a bus like this. Muache uongo saa zingine.
![]()
Hii nyumba ina choo ndani? 🤣 🤣TZ ni third world country,tunaishi kwenye nyumba kama hiyo ila nyumba zina vyoo vya kueleweka na mazingira ni masafi,unaona hapo uchafu uliokuwepo ni majani ya huo mti,kingine atupretend kama kunyan,kunyan yupo kwenye nyumba ya mabati ambayo haina choo,ila bado anajiona tajiri
Meaning we have more talent than you.List of Kenyan in Tanzanian football clubs
1.John Mark Makwatta, Striker , Coastal Union SC
2.Hassan AbdallaAttacker/WingerCoastal Union SC
3.John Kelwish WalubukaStrikerFountain Gate FC
4.Apollo OtienoMidfielderDodoma Jiji FC
5.Robinson KamuraDefenderDodoma Jiji FC
6.Elvis RupiaStrikerSingida Black Stars
7.Duke AbuyaMidfielderYoung Africans SC (Yanga)
8.Christopher OruchumDefenderPamba Jiji SC
9.Eric KapaitoStrikerNamungo
10. Mohamed bajaber simba sport club
Versus
Tanzania in Kenyan football clubs
As of the 2024–25 season, the only confirmed Tanzanian playing in the Kenyan Premier League (KPL) is:
Stephen Bulugu — a defender (left‑back/center‑back) who joined Nairobi City Stars from Muhoroni Youth in mid‑2024. He accumulated 27 appearances during his debut season
Halafu tuliwaambia sisi ndo tunawalisha mnakataaa ,
tufunge mpaka sasa
Wakenya mnatafuta kwa tochi vitu vya hali ya chini mbongo. Lakini huko kenya hata kipofu anaona uozo wa nchi yenu.Hii nyumba ina choo ndani? 🤣 🤣
Danganya wenye hawajawai fika Bongo. Nyumba mpya za tofali hapo bongo vyoo viko nje alafu utuambia nyumba ya tope ina choo ndani?🤣 🤣
View attachment 3427321
Weka picha tuoneDar Coach
Hiyo picha niliipiga mwenyewe hata sikutafuta. Yani kando ya barabara tu nikapiga tena main road. Ningeingia ndani ningeona miujiza.Wakenya mnatafuta kwa tochi vitu vya hali ya chini mbongo. Lakini huko kenya hata kipofu anaona uozo wa nchi yenu.
Chang'aa ishakuharibu,ubongo,wapi niliposema hizo nyumba zina vyoo vya ndani?Hii nyumba ina choo ndani? 🤣 🤣
Danganya wenye hawajawai fika Bongo. Nyumba mpya za tofali hapo bongo vyoo viko nje alafu utuambia nyumba ya tope ina choo ndani?🤣 🤣
View attachment 3427321
Kwa hivo nyumba ya tope ina choo kipi cha kueleweka? 🤣 🤣Chang'aa ushakuharibuubongo,wapi niliposema hizo zina vyoo vya ndani?
Pole sana ligi yenu maskini sanaMeaning we have more talent than you.
Kila mtu anajua kaka, dunia hii ya utandawazi huwezi kudanganya mtu. Wakenya mmebarikiwa sasa na uozo uliovuka mpaka. Hakika Jehanamu ipo KenyaHiyo picha niliipiga mwenyewe hata sikutafuta. Yani kando ya barabara tu nikapiga tena main road. Ningeingia ndani ningeona miujiza.
Mwambie Simba Queen pekee inalipa Mshahara wachezaji wake kuaanzia $2,000. But huko Kenya hakuna mchezaji wa Timu yoyote ya wanaume anaweza kufikia mshahara wa wachezaji wa Simba QueenPole sana ligi yenu maskini sana
Fikiria mzimu sponsorship kwa timu haizid 3mil
Utalinganishe na Tanzania ambako timu moja inapata sponsorship ya over 330mil usd
The main reasons there are more Kenyan football players in Kenya than Tanzanian players in Kenya relate to:
1. League Attractiveness & Player Movement
Kenyan Premier League (KPL) tends to attract more local Kenyan talent than foreign players because the domestic competition is competitive but not as financially attractive as some regional leagues (e.g., Tanzania’s NBC Premier League).
Many of Kenya’s top players prefer to stay in Kenya unless they get opportunities in higher-paying leagues (Tanzania, South Africa, Zambia).
Tanzanian players often aim for better-paying leagues directly (NBC Premier League in Tanzania, or outside East Africa) rather than Kenya.
2. Financial Incentives
NBC Premier League (Tanzania) generally offers better salaries and perks for foreign players than KPL.
Tanzanian clubs like Simba SC, Yanga SC, and Azam FC have bigger budgets and are known to pay top wages in East Africa.
This means Kenyan players have more incentive to go to Tanzania than Tanzanian players have to go