Hawa hawatujui, huwa hatufanyi kitu kwa kukurupuka hizo kelele baada ya wiki zitaisha na hawatafanya chochote,
Waliwahi piga kelele sana tulivyomtoa nduku waziri wao wa uchukuzi kuingia Tanga port na vitisho kibao, ila mpaka leo kimyaa
Kenya halisi wanaijua viongozi wao. Wakenya wa kawaida hawaijui Kenya.
Kenya ni paper tiger tu.
Wajaribu kufanya chochote.
Mwaka 2020 walikuwa na COVID wakajifungia, TZ ikaendelea na shughuli zake, wao wakaona tunawaambukiza COVID wakazuia WaTZ kwenda Kenya.
Hatukuongea sana, na sisi tukazuia KQ kitua Tanzania, easy. Wakaja kuongea.
Sasa wao badala ya kuchukua hatua, wako busy wanabonga sana.
Vilema vilem mara omba omba, kuwatimua hawawezi.
Sisi hapa tunakamata Warundi na Wahabeshi kila siku na wako huko magerezani.
Hao wakenya kila siku tuna-deport kwao.
Juzi tu, hapa kuna Mkenya alikuwa anabonga sana online, kumbe alipata kibarua cha kazi kwenye hotel huko Kigamboni, alikamatwa akawa deported kwao.
Easy.
Maneno mengi ya nini?