Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani wao ndio wanaisambaza kote duniani. Yani Tanzania inawatumia sana wakenya kusambaza news za Tanzania. Wao wala hawaelewi wanaona wanikomoa Tanzania kumbe wanasambaza news zetu. Hata kwa sasa Dogo Rema ni gumzo kubwa sana huko kenya, Msanii wa Doto Magari 🤣 🤣 🤣 🤣

Hii ishu wanavyo ikomalia ndio inazidi kuwavua nguo na kuonekana walivyo mafala..
Kila Nchi inalinda maslahi yake na kutengeneza uchumi wa raia wake. Wao sera yao ya kupeleka mayaya nje ya nchi Sasa ban kama hiyo wanapiga ukunga.

Wawekezaji kutoka nje milango Iko wazi sana tu...ila ni vigezo na masharti...Yani kuja kufanya uchuuzi wa kulangua mahindi hapa na kupeleka kunyaland ndio wawekezaji hao!?
 
Serikali yenu ni immature na irrational
1000058664.jpg
 
Hukumbuki mkidiscuss bungeni Jaguar alipomention foreigners Gikomba?
Punguza kidomo domo, useless kabisa kama nchi.

Target ni wachina si mlikua mnatukejeli huku wachina wanauza kariakoo, mtaani etc

ila cha ajabu nyie kenge ndio mmelifanya suala la kitaifa kila chombo cha habari, hadi mnalalamikia government yenu, kisa kazi ya saluni duh.

Huko Ukunyani hamna vichwa vya kunyoa?
 
Brokers, fundi simu, barbers ndio investors kwenu sio? Basi mna safari ndefu sana kama taifa.
There are over 250,000 Kenyans who have invested in Bongo. They not only create employment but also contribute to the economy through taxes. History has taught us that Protectionism never works. Even China tried it with a devastating failure. It took Deng Xiaoping’s open door policy which allowed mostly Americans and a few others to come in and create wealth. Without Deng Xiaoping , China would still be a huge LDC. Now put that into Kenya/ Tanzania perspective. Unless you want to reverse back to Ujamaa system, your economy won’t sustain this selfish move.
 
I remember mkiambiwa hapa na mwaiofhawaii that mahindi karibu yote inaingia Kenya from tz ni ya wakulima wa kikenya mkapinga!!!
Ona vile mnajipiga vibokoo wenyewe
Unajua maana ya karibu yote we kijana!?
Ni sawa useme 70-80% ya hayo mahindi yanalimwa na Kenya,hivi unajielewa we mbugila tope!?
 
There are over 250,000 Kenyans who have invested in Bongo. They not only create employment but also contribute to the economy through taxes. History has taught us that Protectionism never works. Even China tried it with a devastating failure. It took Deng Xiaoping’s open door policy which allowed mostly Americans and a few others to come in and create wealth. Without Deng Xiaoping , China would still be a huge LDC. Now put that into Kenya/ Tanzania perspective. Unless you want to reverse back to Ujamaa system, your economy won’t sustain this selfish move.
Kwikwikwikwikwi Tell me 20 investment for kenyan yenye thamani ya $100,000 each.
 
That in its self is an exception. Banning of used buses with certain specifications means that not all used buses were banned.
Ebu tuonyeshe any used bus imported in Kenya Kama wewe kweli ni mwanaume.
 
One of my favorite soccer players, Mohammed Bajaber has joined Simba Sports…. Why Mo , Why???😡😡😡
 
Back
Top Bottom