President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,372
Ninawagonga huko huko kwenye mitandao yaoMmesahau mara hii. Tanzania is the leading source of remitansi to Kenya sasa wanaenda ku forfeit remitansi za kutosha ndio maana kilio ni kikubwa. Uchumi bila remitansi hauendi.