instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,602
- 19,781
Mnakumbuka wakenya wanacheka Tz ati Madereva 75 wamekosa ajira Qatar. Wakaenda mbali na kusema tatizo ni english. Ona sasa
Dawa ya mtu mjinga na muongeaji ni kukaa kimya na kumjibu kwa vitendo,
Halafu nimekuja kugundua media za kenya zinapotosha sana habari kuhusu Tz ili kupata engagement na kuchochea battle. One time zitawaponza.