Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo habari imekuwa kubwa huko kunyaland kuliko hapa Bongo. Yani hapa wabongo hata hawana mjadala na ni wachache sana wanaojua kuhusu hiyo Sheria mpya.

Ila kunyaland ni front page kwa magazeti yote na social media zote ndio wanachojadili. Yani target alikuwa mchina ila nyang'au ndio anatoa milio kama mwehu.... Hii kweli kichekesho Cha Karne....Tambo zote na kelele za kujitapa kumbe hakuna kitu...

Sijui kama wataweza ku afford Bei ya unga hawa baada ya kupata kibano kwenye kilimo na mazao.
Yani wao ndio wanaisambaza kote duniani. Yani Tanzania inawatumia sana wakenya kusambaza news za Tanzania. Wao wala hawaelewi wanaona wanikomoa Tanzania kumbe wanasambaza news zetu. Hata kwa sasa Dogo Rema ni gumzo kubwa sana huko kenya, Msanii wa Doto Magari 🤣 🤣 🤣 🤣
 
I can see this futuristic headline;
“Tanzanians cry out with complaints after Kenya bans foreign beggars “… there I said it…🤣🤣🤣
 
Kenge umeelewa wanacholilia?

It means mlikua mnanunua mashambani direct. Now hakuna hicho kitu.
I personally know of a major player in the industry who leases land using a Tanzanian partner ( I am a friend with his kids who reside in the US) I don’t want to create a controversy but there are many Kenyans especially from Mount Kenya region who do the same. And that’s a fact you can take to the bank. Now Kenyans are in Uganda and DRC doing the same. It’s about affordability of arable land. Kenya land is limited and the most expensive in the region therefore to be a large scale farmer you have sometimes to explore beyond the borders. Plus no country in the region comes close to Kenya in terms of entrepreneurship. Now you know
 
Back
Top Bottom