Mkuu neno njaa hapo ni pana sana, na ndiyo shida yetu. Kule ulaya unakuta kijana mpk anakuwa mtu wa makamo hategemewi na yeyote na bado anapewa support kubwa toka kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki, ni rahisi hawa watu kuungana kwasababu automatic kukiwa hakuna njaa kunakuwa na love, peace, harmony, fidelity, solidarity etc. In contrary, Africa unakuta ukoo mzima katoboa mmoja, ndugu wote wanamuangalia yeye, huyo hata awe tajiri bado anakuwa na mentality ile ile ya njaa ambayo baadaye inapelekea tamaa ambayo ndiyo inawatafuna mpaka viongozi wetu. Hatuwezi kuungana mpaka njaa iishe.