The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Huyo achana naye. Ng'ombe ni ng'ombe tu. 🤣 🤣Wee nawe una ubishi wa kijinga. Yani umesema kitu wazi hadi unapewa quote ya post yenyewe ila unabisha kisha unajaribu kubadili mjadala. Hata ni vizuri huyo NairobiWalker amekataa kuvutwa na huo upuzi wako wa 'nionyeshe nchi ya $250B bla bla' maanake anajua unajaribu kukwepa usionekane mjinga wakati kila mtu ashauona ujinga wako. Ni wazi hata akikupea hizo nchi utabadilisha mjadala na kuuvuta kwenye upuzi mwengine. Na bado unajiona mjanja sana kisa bongolala wenzako wanalike hizo post zako za ufedhule.
CCM diplomacy intelligent ni wapumbavu kweli, hivi mkutano wa juzi waliwaalika Chama cha Kim na wanajua Korea kaskazini waliahidi kutupa mkopo nafuu wa matrilioni ambao ungeleta mapinduzi nchini, hivi hawajui uhasama uliopo kati ya mataifa haya mawili? Korea kusini wakiamua huu mkopo usitoke wana wa kumlaumu? Hivi hawa Korea kaskazini waliwahi kuipa Tanzania nini?
View: https://x.com/TheChanzo/status/1928423853749080553?t=WojKVqECZim2FIRvwa5fxA&s=19
View: https://x.com/TZMsemajiMkuu/status/934423586617602049?t=LDugXu8JpkAcWD27XuN-Dw&s=19
View: https://x.com/mfa_tanzania/status/1798567118478454856?t=ZpOetAMNtbuQpGWwll3_DQ&s=19
View: https://x.com/millardayo/status/1797235627366269207?t=dGKSjXbGHOc1hpuXIctXbw&s=19
View: https://x.com/millardayo/status/1585561036819775489?t=ygPAd9-w6HrYYJ2BOJ4EmQ&s=19
View: https://x.com/JamiiForums/status/1796108472695529790?t=e_AVq89Fyyk4I0BvbpUGAg&s=19
View: https://x.com/MwanzoTv/status/1489239495480426502?t=9EYDO4vtJCiUpI8me0sBFg&s=19
View: https://x.com/earadiofm/status/1601210047891226627?t=c4CIeMEbE3s5br7fKVgvKg&s=19

Wanajua kunusa opportyunity hawa nyangau wa kizungu. cashless transaction zimefika 26 Trillion in 2024
Ni kweli hatufungamani na yoyote, lakini siyo kwamba ndio tusitumie akili.Hatufungamani na upande wowote lakini kaka.
Hata hao North huwa tunawatumia kwenye maboresho ya silaha ikiwemo kufanya upgrading japo serikali huwa inakataa kuwa hatushirikiani nao.
mimi naudhika sana kwann jengo la abiria halijakamilika! Mwanza ina potential kubwa sana kuwa J'burg ya East Africa!Hii ni Air Tanzania kwenda Mwanza siku mbili kabla. Hii maana yake ni nini?
View attachment 3409876
Sidhani kama ni sahihi kuita tu watu na kuja kuwajaza hapa wakati, huna shida nao.Naongelea wale ambao wana genius level of intelligence, hawa ni once in a few generations type of people. Kwa ujuzi walionao, tungefaidika sana ila ndo hivyo, tulishawakosa. Tutaambulia vipanga wa kawaida, kama yule jamaa aliyekuwa Sweden, aliyetengeneza mfumo wa eGov.
CCM diplomacy intelligent ni wapumbavu kweli, hivi mkutano wa juzi waliwaalika Chama cha Kim na wanajua Korea kaskazini waliahidi kutupa mkopo nafuu wa matrilioni ambao ungeleta mapinduzi nchini, hivi hawajui uhasama uliopo kati ya mataifa haya mawili? Korea kusini wakiamua huu mkopo usitoke wana wa kumlaumu? Hivi hawa Korea kaskazini waliwahi kuipa Tanzania nini?
View: https://x.com/TheChanzo/status/1928423853749080553?t=WojKVqECZim2FIRvwa5fxA&s=19
View: https://x.com/TZMsemajiMkuu/status/934423586617602049?t=LDugXu8JpkAcWD27XuN-Dw&s=19
View: https://x.com/mfa_tanzania/status/1798567118478454856?t=ZpOetAMNtbuQpGWwll3_DQ&s=19
View: https://x.com/millardayo/status/1797235627366269207?t=dGKSjXbGHOc1hpuXIctXbw&s=19
View: https://x.com/millardayo/status/1585561036819775489?t=ygPAd9-w6HrYYJ2BOJ4EmQ&s=19
View: https://x.com/JamiiForums/status/1796108472695529790?t=e_AVq89Fyyk4I0BvbpUGAg&s=19
View: https://x.com/MwanzoTv/status/1489239495480426502?t=9EYDO4vtJCiUpI8me0sBFg&s=19
View: https://x.com/earadiofm/status/1601210047891226627?t=c4CIeMEbE3s5br7fKVgvKg&s=19
Hiv zile meli za coco beach ni uzembe au bandari haitoshi?Ujio wa DP World na Adani katika uwekezaji kwenye Bandari zetu umeleta mapinduzi makubwa na matokeo chanya yame anza kuonekana mapema tu.
Hao Zambia tayari ni wateja watiifu kwa DP world na madini yao yote yanapita Tanzania Sasa. Kwa kuangalia tu jaribu kufatilia yard za Copper pale Shekilango utaelewa. DP wame lobby sehemu nyingi na Congo is next. Ndio maana Sasa hivi wanakazana kujenga Warehouses za kutosha.... Upande wa vifaa Bandarini vya kupakia na kushusha mizigo tayari kuna improvement kubwa sana.
Hata baadhi ya shipping lines zinataka kuhamishia HQ zao hapa Bongo na kukimbia kunyaland maana hapo Dar kwa Sasa ndio panaongoza kwa mapato..sio kama mwanzo maboss walikuwa wanasubiri report kwa email tu... Sasa hivi wanashinda kwenye office za Dar huko ku run operations.
Uwezo ndogo ni ya kujaribu to scam me. Uwezo ndogo WA kufikiria ni kutoenda shule.Ana uwezo mdogo wa kufikiri. 😂😂😂