Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,722
- 4,602
Unaanza kunipa ID za wenyewe.? 🤣🤣🤣Oooh, so kumbe wewe ni ni Yule Primitive baboon. Nilikupiga vibare ukachange account?🤣🤣🤣🤣.
No wonder wewe ni maskini 😂🤣
Unaanza kunipa ID za wenyewe.? 🤣🤣🤣Oooh, so kumbe wewe ni ni Yule Primitive baboon. Nilikupiga vibare ukachange account?🤣🤣🤣🤣.
No wonder wewe ni maskini 😂🤣
Akaja na ile nyingine anakuambia "investors have now changed the path" kwamba linapelekwa kunako shit hole country, mnuka mavi bhn 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣😂😂😂
Akianza kurusha mawe screenshot nione. 😂😂😂Akaja na ile nyingine anakuambia "investors have now changed the path" kwamba linapelekwa kunako shit hole country, mnuka mavi bhn 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
You are Sama boy 255. Your writings betrayed you Mr. Baboonman. Hata hii ID bado utapata tu nayo vichapo na vibare, by the way why didn’t you put Baboon as your Avatar?Unaanza kunipa ID za wenyewe.? 🤣🤣🤣
Kameshaanza kukutupia mawe 🤣🤣🤣🤣🤣Akianza kurusha mawe screenshot nione. 😂😂😂
Ana uwezo mdogo wa kufikiri. 😂😂😂Kameshaanza kukutupia mawe 🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3409661
Ana bichwa kubwa, ubongo wa mende. 🤣🤣🤣Ana uwezo mdogo wa kufikiri. 😂😂😂
Brother unauhakika na hiki ulichokiandika? Kila mkoa Tanzania upo na Viwanja vya mpira.Do you stadiums in Tanzania outside Dar and Zanzibar? Kenya is building decent Stadiums in every county yet wewe uko hapa unapanga midomo kwa wivu.
Huyo estim construction mbona wanamtupa, wakati ukiona Kimara Kibaha Highway imetulia sana.Wakati Tanzania inaendelea na ujenzi Kenya imelala
Ndugu zangu wa Tanzania mnataka jengo la kihistoria la kiusanifu?
Jengo la Wizara ya Fedha lililopo Dodoma — linajengwa chini ya usimamizi wa kitaalamu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kama mkandarasi mshauri, limebuniwa na IPA Architects | Tanzania na kujengwa na Estim Construction Co. Ltd. — ni moja ya majengo ya kipekee yanayopamba uso wa makao makuu ya serikali ya Tanzania.
View attachment 3409069View attachment 3409070View attachment 3409071View attachment 3409072View attachment 3409073View attachment 3409074View attachment 3409075View attachment 3409076View attachment 3409077View attachment 3409078View attachment 3409079
TeargasEACOP will never be built in your life time.
😂😂 Wanataka kushindana na Tanzania ndio tatizo, hiyo talaka soon itakua kama hizi za SANi rahisi kutabiri kwamba talanta itakuwa pagale mana haikuhitajika Kenya, kwanza Kenya sio football country, ligi yao yenyewe ya mpata mpatae alafu wanajenga uwanja kama wa Mkapa ili iweje? Hawa ni wajinga sn, it's better wangejenga viwanja vya riadha.
kwani Nyanza Civil ni ya Rostam?Huyo estim construction mbona wanamtupa, wakati ukiona Kimara Kibaha Highway imetulia sana.
Alapaswa kuwezeshwa sana kwenye ujenzi wa barabara etc tuwe na One biggest Civil and Construction company in EA.
Yaani Wakandarasi wa Ndani walioserious unawasaidia hata vifaa na kuwapa elimu kuwawezeshwa baadae watakua msaada mkubwa sana, Dola zinazingukia nchini.
Ajabu kuna mchina anajenga ujinga sehemu kabisa ungeona hata Estim angefanya vizuri.
Huyo ROSTAM miyeyusho kelele chote kuhusu wachina alafu kampuni zake zina kazi mbovu, Uwanja wa Mwanza jengo kimya, kule home Nyamongo anajenga lami chini ya kiwango na NYANZA CIVIL unaona bora Wachina.
Miradi ya barabara like 10km achia Mkandarasi wa Ndani mwenye standard za kueleweka.
Hiyo Talanta ni deni, wame raise pesa kama Bond kupitia NSE.😂😂 Wanataka kushindana na Tanzania ndio tatizo, hiyo talaka soon itakua kama hizi za SA View attachment 3409730View attachment 3409731View attachment 3409732
Very strategic point Tanzania nimependa tulivyowekeza pesa nyingi kwenye irrigation agriculture, new university campuses, well equipped schools, hospitals, maji, umeme, modern mining equipments, airports, roads yaani kuna vitu unaona ni vya kuleta hela, Kunyaland imejikita kufake dataKiongozi achana nao hawashauriki hawa nyangau wanataka maendeleo ya kiinimacho harakaharaka wakati hawajengi misingi yoyote ya maana ya uchumi ndio maana unaona industrial production yao, exports na agriculture zote zime stagnate mwaka wa 10 huu pia KRA has been missing tax targets kila mwaka because of limited economic expansion. Unlike TZ we invest where it matters kwenye sectors za msingi ambazo zina multiplier effect kwenye economy kama agriculture (subsidies, irrigation, e-markets, extension officers etc, TMX), Infrastructure (roads, rail, ports, marine vessels and planes), digital economy, tourism etc. These are the foundation for a stable and resilient economy na ndio priority ya serikali once these things have been secured the next stage ndio utaona housing sector ina pop out automatically because strong established economic fundamentals are in place.
😂😂😂😂 Atakuambia LDC 🤣😂😂😂
Ni kweli ni macowsheds lakini ukitajiwa bei utashangaa 😂😂Maviwanja yenyewe si yale yamejengwa na mafundi wa kikenya, upande yapo wazi alafu wanataka viingilio, hawa ni failure katika kila jambo.
CCM diplomacy intelligent ni wapumbavu kweli, hivi mkutano wa juzi waliwaalika Chama cha Kim na wanajua Korea kaskazini waliahidi kutupa mkopo nafuu wa matrilioni ambao ungeleta mapinduzi nchini, hivi hawajui uhasama uliopo kati ya mataifa haya mawili? Korea kusini wakiamua huu mkopo usitoke wana wa kumlaumu? Hivi hawa Korea kaskazini waliwahi kuipa Tanzania nini?Fikra za viongozi wa Africa ni za kipuuzi. Nyerere set us on a good path as a nation. Nakumbuka wakati huo Israel ilikuwa ikitusaidia na bado tukawatambua Palestina na kuwapa office Dar waisrael wakakasirika, pia South Korea, West Germany na Morocco walikasirika tulipowatambua mahasimu wao North Korea, East Germany na Sahara (POLISARIO) pamoja na umasikini wetu na uchanga kama taifa tukawaambia hamuwezi kutuchagulia marafiki kamwe kama vipi songa na tukafunga uhusiano wa kibalozi na nchi hizo zote. Ndio maana wakati ule passport ya TZ inaandikwa you can visit all countries in the world except South Korea, West Germany and Israel lakini baada ya muda wamerudi wenyewe baada ya kuona hatuyumbishwi na yeyote na pia tulikuwa founders wa Non Aligned Movement iliyoanzishwa na kina Nyerere Tanzania, Gamal Nasser Egypt na Jawarhal Nehru India. Pia Makaburu tukawa tunawapiga pini pamoja na USA kutushinikiza tuwatambue Makaburu tulikataa katakata ila jirani wa kaskazini kila anachooambiwa anatekeleza hana maamuzi yake mwenyewe.
Imagine deni lazima watalipa zaidi ya billion 700 mpaka 900 kwa infrastructure isio na return yoyote, talaka mpaka ije kubreakeven ni miaka 100 ijayo kama haitakua abandoned sababu maintenance cost yake ni kubwa kuwasha taa, maji, air-conditioning, surveillance equipments and staff unaweza kuta ni mapato yote ya match kama wameingia mashabiki nusu uwanja, hiyo pesa ya ujenzi wangewasambazia maji wakazi wa naislum wangerudisha ndani ya miaka miwili kwa customer billsHiyo Talanta ni deni, wame raise pesa kama Bond kupitia NSE.
Kwasabbu siyo commercial viable, inatakiwa kodi itaongezwa popote ili walipe wadeni
CCM diplomacy intelligent ni wapumbavu kweli, hivi mkutano wa juzi waliwaalika Chama cha Kim na wanajua Korea kaskazini waliahidi kutupa mkopo nafuu wa matrilioni ambao ungeleta mapinduzi nchini, hivi hawajui uhasama uliopo kati ya mataifa haya mawili? Korea kusini wakiamua huu mkopo usitoke wana wa kumlaumu? Hivi hawa Korea kaskazini waliwahi kuipa Tanzania nini?
View: https://x.com/TheChanzo/status/1928423853749080553?t=WojKVqECZim2FIRvwa5fxA&s=19
View: https://x.com/TZMsemajiMkuu/status/934423586617602049?t=LDugXu8JpkAcWD27XuN-Dw&s=19
View: https://x.com/mfa_tanzania/status/1798567118478454856?t=ZpOetAMNtbuQpGWwll3_DQ&s=19
View: https://x.com/millardayo/status/1797235627366269207?t=dGKSjXbGHOc1hpuXIctXbw&s=19
View: https://x.com/millardayo/status/1585561036819775489?t=ygPAd9-w6HrYYJ2BOJ4EmQ&s=19
View: https://x.com/JamiiForums/status/1796108472695529790?t=e_AVq89Fyyk4I0BvbpUGAg&s=19
View: https://x.com/MwanzoTv/status/1489239495480426502?t=9EYDO4vtJCiUpI8me0sBFg&s=19
View: https://x.com/earadiofm/status/1601210047891226627?t=c4CIeMEbE3s5br7fKVgvKg&s=19