Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida kubwa ya Africa wala hata siyo njaa.

Ni PUPPETISM, UBINAFSI, LOVE OF SHORTCUTS na KUKOSA SUBIRA.

Mtu anaona badala ya kutengeneza nyumbani kwake ni kazi nzito, anaiba anapeleka ULAYA.

Na kibaya zaidi bado tuna mentality kuwa ULAYA ni Mbinguni, wakati watu wa Ulaya wameshtuka wanatafuta kwa kila namna kukimbilia AFRIKA.
Mkuu neno njaa hapo ni pana sana, na ndiyo shida yetu. Kule ulaya unakuta kijana mpk anakuwa mtu wa makamo hategemewi na yeyote na bado anapewa support kubwa toka kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki, ni rahisi hawa watu kuungana kwasababu automatic kukiwa hakuna njaa kunakuwa na love, peace, harmony, fidelity, solidarity etc. In contrary, Africa unakuta ukoo mzima katoboa mmoja, ndugu wote wanamuangalia yeye, huyo hata awe tajiri bado anakuwa na mentality ile ile ya njaa ambayo baadaye inapelekea tamaa ambayo ndiyo inawatafuna mpaka viongozi wetu. Hatuwezi kuungana mpaka njaa iishe.
 
MRADI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA (EACOP), PROJECT INAENDELEA UJENZI WA MATANKI YA KUHIFADHIA MAFUTA - Wakenya wapo hoi sana. Uzi wameususia
1752821219590.png

1752821288685.png

1752821421316.png
 
Kenya hawana vision.

Wako too addictive to cosmetic development.

Hawawezi kukuelewa.

Kwasasa wako busy na smart cities (Northlands city, Konza Metropolis na Tatu City)

😅
Yalivyo majinga yanaomba foreigners wajenge vighorofa zen yanashindwa kawajengea mazingira mazuri ya kufanya biashara hao foreigners mwishowe wanakimbia wanakuja Tz. Foreigners wanafungua malls wakenya wanaanzisha maandamano ili waibe mikate kwenye hizo malls, nchi ya kifala sn Kenya.
 
Kenya uchumi wenu na hali ya maisha ni duni mno kujenga hizi cowsheds countrywide, kwanini hizi pesa msingejengea irrigation dams mtoe ajira kwa vijana wenu? Hizi substandard cowsheds haziwasaidii kitu sababu ninyi hata sio football nation, mtacheza hapo mara 1 kwa miezi mitatu mfungane mvunje viti na properties tofauti na Tanzania mechi kila siku na viingilio ni vingi hence ni viable commercial investment, ni kama naislum mmejaza maviwanja mengi lakini I bet you know hakuna siku hata 1 viwanja vyote kwa pamoja viliwahi kuwa occupied, sijui nani anawasaidiaga kufikiria.
Kiongozi achana nao hawashauriki hawa nyangau wanataka maendeleo ya kiinimacho harakaharaka wakati hawajengi misingi yoyote ya maana ya uchumi ndio maana unaona industrial production yao, exports na agriculture zote zime stagnate mwaka wa 10 huu pia KRA has been missing tax targets kila mwaka because of limited economic expansion. Unlike TZ we invest where it matters kwenye sectors za msingi ambazo zina multiplier effect kwenye economy kama agriculture (subsidies, irrigation, e-markets, extension officers etc, TMX), Infrastructure (roads, rail, ports, marine vessels and planes), digital economy, tourism etc. These are the foundation for a stable and resilient economy na ndio priority ya serikali once these things have been secured the next stage ndio utaona housing sector ina pop out automatically because strong established economic fundamentals are in place.
 
Kenya uchumi wenu na hali ya maisha ni duni mno kujenga hizi cowsheds countrywide, kwanini hizi pesa msingejengea irrigation dams mtoe ajira kwa vijana wenu? Hizi substandard cowsheds haziwasaidii kitu sababu ninyi hata sio football nation, mtacheza hapo mara 1 kwa miezi mitatu mfungane mvunje viti na properties tofauti na Tanzania mechi kila siku na viingilio ni vingi hence ni viable commercial investment, ni kama naislum mmejaza maviwanja mengi lakini I bet you know hakuna siku hata 1 viwanja vyote kwa pamoja viliwahi kuwa occupied, sijui nani anawasaidiaga kufikiria.
Do you stadiums in Tanzania outside Dar and Zanzibar? Kenya is building decent Stadiums in every county yet wewe uko hapa unapanga midomo kwa wivu.
 
Unadhani mimi ni njuka humu wewe mnuka mavi.? 🤣🤣🤣 uncircumcised bafoon.?
Oooh, so kumbe wewe ni ni Yule Primitive baboon. Nilikupiga vibare ukachange account?🤣🤣🤣🤣.

No wonder wewe ni maskini 😂🤣
 
Kwanza binafsi sidhani kama kuna SKILLED GAP nchini.

Kwamba kuna watu tunawahitaji nchini hawapo, ila ni WaTZ wapo nje.
Naongelea wale ambao wana genius level of intelligence, hawa ni once in a few generations type of people. Kwa ujuzi walionao, tungefaidika sana ila ndo hivyo, tulishawakosa. Tutaambulia vipanga wa kawaida, kama yule jamaa aliyekuwa Sweden, aliyetengeneza mfumo wa eGov.
 
Kenya uchumi wenu na hali ya maisha ni duni mno kujenga hizi cowsheds countrywide, kwanini hizi pesa msingejengea irrigation dams mtoe ajira kwa vijana wenu? Hizi substandard cowsheds haziwasaidii kitu sababu ninyi hata sio football nation, mtacheza hapo mara 1 kwa miezi mitatu mfungane mvunje viti na properties tofauti na Tanzania mechi kila siku na viingilio ni vingi hence ni viable commercial investment, ni kama naislum mmejaza maviwanja mengi lakini I bet you know hakuna siku hata 1 viwanja vyote kwa pamoja viliwahi kuwa occupied, sijui nani anawasaidiaga kufikiria.
Maviwanja yenyewe si yale yamejengwa na mafundi wa kikenya, upande yapo wazi alafu wanataka viingilio, hawa ni failure katika kila jambo.
 
Wee nawe una ubishi wa kijinga. Yani umesema kitu wazi hadi unapewa quote ya post yenyewe ila unabisha kisha unajaribu kubadili mjadala. Hata ni vizuri huyo NairobiWalker amekataa kuvutwa na huo upuzi wako wa 'nionyeshe nchi ya $250B bla bla' maanake anajua unajaribu kukwepa usionekane mjinga wakati kila mtu ashauona ujinga wako. Ni wazi hata akikupea hizo nchi utabadilisha mjadala na kuuvuta kwenye upuzi mwengine. Na bado unajiona mjanja sana kisa bongolala wenzako wanalike hizo post zako za ufedhule.
Hivi madam Nduta ulisharudi kutoka Oman?
 
Shida kubwa ya Africa wala hata siyo njaa.

Ni PUPPETISM, UBINAFSI, LOVE OF SHORTCUTS na KUKOSA SUBIRA.

Mtu anaona badala ya kutengeneza nyumbani kwake ni kazi nzito, anaiba anapeleka ULAYA.

Na kibaya zaidi bado tuna mentality kuwa ULAYA ni Mbinguni, wakati watu wa Ulaya wameshtuka wanatafuta kwa kila namna kukimbilia AFRIKA.
Fikra za viongozi wa Africa ni za kipuuzi. Nyerere set us on a good path as a nation. Nakumbuka wakati huo Israel ilikuwa ikitusaidia na bado tukawatambua Palestina na kuwapa office Dar waisrael wakakasirika, pia South Korea, West Germany na Morocco walikasirika tulipowatambua mahasimu wao North Korea, East Germany na Sahara (POLISARIO) pamoja na umasikini wetu na uchanga kama taifa tukawaambia hamuwezi kutuchagulia marafiki kamwe kama vipi songa na tukafunga uhusiano wa kibalozi na nchi hizo zote. Ndio maana wakati ule passport ya TZ inaandikwa you can visit all countries in the world except South Korea, West Germany and Israel lakini baada ya muda wamerudi wenyewe baada ya kuona hatuyumbishwi na yeyote na pia tulikuwa founders wa Non Aligned Movement iliyoanzishwa na kina Nyerere Tanzania, Gamal Nasser Egypt na Jawarhal Nehru India. Pia Makaburu tukawa tunawapiga pini pamoja na USA kutushinikiza tuwatambue Makaburu tulikataa katakata ila jirani wa kaskazini kila anachooambiwa anatekeleza hana maamuzi yake mwenyewe.
 
Yalivyo majinga yanaomba foreigners wajenge vighorofa zen yanashindwa kawajengea mazingira mazuri ya kufanya biashara hao foreigners mwishowe wanakimbia wanakuja Tz. Foreigners wanafungua malls wakenya wanaanzisha maandamano ili waibe mikate kwenye hizo malls, nchi ya kifala sn Kenya.
Nairobi ilivyojengwa ni VIMJI MJI (Smart cities & Estates) ndani ya Nairobi.

Foreigners wengi wanaishi maeneo ambayo MAANDAMANO hayafiki.

Huwezi kusikia kuna maandamano RUNDA, UPPER HILL, KILELESHWA, WESTLANDS, KAREN.

Na huko kwenye hiyo mitaa kuna huduma zote za Masoko, biashara, night clubs, etc

Unaweza kuishi Nairobi, na wewe Kawangare, Mathare, au Kibera ukawa unaiona tu Youtube.

Biashara nyingi zilizoathirika ni zile ambazo ziko CBD kwasababu kila mtu anaingia huko.

Mji kama TATU CITY kuna mashariti kibao, na ulinzi hawataruhusiwa kwenda huko.
 
Fikra za viongozi wa Africa ni za kipuuzi. Nyerere set us on a good path as a nation. Nakumbuka wakati huo Israel ilikuwa ikitusaidia na bado tukawatambua Palestina na kuwapa office Dar waisrael wakakasirika, pia South Korea, West Germany na Morocco walikasirika tulipowatambua mahasimu wao North Korea, East Germany na Sahara (POLISARIO) pamoja na umasikini wetu na uchanga kama taifa tukawaambia hamuwezi kutuchagulia marafiki kamwe kama vipi songa na tukafunga uhusiano wa kibalozi na nchi hizo zote. Ndio maana wakati ule passport ya TZ inaandikwa you can visit all countries in the world except South Korea, West Germany and Israel lakini baada ya muda wamerudi wenyewe baada ya kuona hatuyumbishwi na yeyote na pia tulikuwa founders wa Non Aligned Movement iliyoanzishwa na kina Nyerere Tanzania, Gamal Nasser Egypt na Jawarhal Nehru India. Pia Makaburu tukawa tunawapiga pini pamoja na USA kutushinikiza tuwatambue Makaburu tulikataa katakata ila jirani wa kaskazini kila anachooambiwa anatekeleza hana maamuzi yake mwenyewe.
Ndio maana ukiona mtu anasema Nyerere hakufanya jambo nchi hii ujie ni JUHA tu.

Imagine, brain hii kwa miaka ya 1960s.

TZ hakuna mtu anayeweza kusema anatudai, kuwa alitusaidia.

Ndio maana tuna nguvu ya kudinda muda wowote.

Leo watawala wanatumia tu SCRIPT na bado wanatapa tapa.

Nilienda Kilimanjaro (mkoa mdogo ziaod Tanzania bara), kuna migogoro ya ardhi, then unasikia stori kuwa Nyerere aliwachukia wachagga, eti walikuwa wasomi mara walitaka nchi ya peke yao.

Ukijiuliza kwa kimkoa kama Kilimanjaro, kingekuwa nchi wangekaa wapi??

Wangekuwa wanauana kila siku kwasababu ya ardhi na kutaka kutawalana.
 
Back
Top Bottom