Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Sidhani kama ni sahihi kuita tu watu na kuja kuwajaza hapa wakati, huna shida nao.Naongelea wale ambao wana genius level of intelligence, hawa ni once in a few generations type of people. Kwa ujuzi walionao, tungefaidika sana ila ndo hivyo, tulishawakosa. Tutaambulia vipanga wa kawaida, kama yule jamaa aliyekuwa Sweden, aliyetengeneza mfumo wa eGov.
CCM diplomacy intelligent ni wapumbavu kweli, hivi mkutano wa juzi waliwaalika Chama cha Kim na wanajua Korea kaskazini waliahidi kutupa mkopo nafuu wa matrilioni ambao ungeleta mapinduzi nchini, hivi hawajui uhasama uliopo kati ya mataifa haya mawili? Korea kusini wakiamua huu mkopo usitoke wana wa kumlaumu? Hivi hawa Korea kaskazini waliwahi kuipa Tanzania nini?
View: https://x.com/TheChanzo/status/1928423853749080553?t=WojKVqECZim2FIRvwa5fxA&s=19
View: https://x.com/TZMsemajiMkuu/status/934423586617602049?t=LDugXu8JpkAcWD27XuN-Dw&s=19
View: https://x.com/mfa_tanzania/status/1798567118478454856?t=ZpOetAMNtbuQpGWwll3_DQ&s=19
View: https://x.com/millardayo/status/1797235627366269207?t=dGKSjXbGHOc1hpuXIctXbw&s=19
View: https://x.com/millardayo/status/1585561036819775489?t=ygPAd9-w6HrYYJ2BOJ4EmQ&s=19
View: https://x.com/JamiiForums/status/1796108472695529790?t=e_AVq89Fyyk4I0BvbpUGAg&s=19
View: https://x.com/MwanzoTv/status/1489239495480426502?t=9EYDO4vtJCiUpI8me0sBFg&s=19
View: https://x.com/earadiofm/status/1601210047891226627?t=c4CIeMEbE3s5br7fKVgvKg&s=19
Hiv zile meli za coco beach ni uzembe au bandari haitoshi?Ujio wa DP World na Adani katika uwekezaji kwenye Bandari zetu umeleta mapinduzi makubwa na matokeo chanya yame anza kuonekana mapema tu.
Hao Zambia tayari ni wateja watiifu kwa DP world na madini yao yote yanapita Tanzania Sasa. Kwa kuangalia tu jaribu kufatilia yard za Copper pale Shekilango utaelewa. DP wame lobby sehemu nyingi na Congo is next. Ndio maana Sasa hivi wanakazana kujenga Warehouses za kutosha.... Upande wa vifaa Bandarini vya kupakia na kushusha mizigo tayari kuna improvement kubwa sana.
Hata baadhi ya shipping lines zinataka kuhamishia HQ zao hapa Bongo na kukimbia kunyaland maana hapo Dar kwa Sasa ndio panaongoza kwa mapato..sio kama mwanzo maboss walikuwa wanasubiri report kwa email tu... Sasa hivi wanashinda kwenye office za Dar huko ku run operations.
Uwezo ndogo ni ya kujaribu to scam me. Uwezo ndogo WA kufikiria ni kutoenda shule.Ana uwezo mdogo wa kufikiri. 😂😂😂
Viwanja vya mpira ama viwanja vya kulisha ng'ombe?Brother unauhakika na hiki ulichokiandika? Kila mkoa Tanzania upo na Viwanja vya mpira.
Nchi ya $400 billion GDP ikona 13 MRI machines pekee kwa puclic hospitals. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/JongoJames/status/1945788277677511064
Nchi ya $400 billion GDP ikona 13 MRI machines pekee kwa puclic hospitals. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/JongoJames/status/1945788277677511064
Nchi ya $400 billion GDP ikona 13 MRI machines pekee kwa puclic hospitals. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/JongoJames/status/1945788277677511064
In 2013 the government supplied 20 MRI machines to public hospitals across the country, ebu jiulize 2025 zitakua ngapi?At least three MRI machines (one at KNH and two at KUTRRH) are confirmed in public hospitals.
Apart from thwse 3, how many MRIs machines ate there in public hospitals?
So, this public statement is the proof of that??In 2013 the government supplied 20 MRI machines to public hospitals across the country, ebu jiulize 2025 zitakua ngapi?
![]()
Is that letter head private? Is the person addressed not a public officer? Ume elewa barua inaongelea nini? Bongolala ni bongolala tu.So, this public statement is the proof of that??
Nchi ya $400 billion GDP ikona 13 MRI machines pekee kwa puclic hospitals. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/JongoJames/status/1945788277677511064
Hebu leta evidence zilikuwa delivered!In 2013 the government supplied 20 MRI machines to public hospitals across the country, ebu jiulize 2025 zitakua ngapi?
![]()
Badala ya kuleta hospitali zenye MRI machines, unaleta barua yenye wishes na MOU???Is that letter head private? Is the person addressed not a public officer? Ume elewa barua inaongelea nini? Bongolala ni bongolala tu.