Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weeeee kama hivi ndio hua munareason naelewa mbona nyinyi ni primary school dropouts. Kwa hivyo watu wa statistics wakisema 1 doctor per 10,000 people inamaanisha hao ni wajinga ju sio kila mtu anafaa kua mgonjwa. 🤣 🤣 🤣 Usiwe mjinga bana..
Nani anasema 1 doctor per 10,000 people? 🤣 🤣 🤣 🤣 MRI ni kwaajili ya kupima. MRI, CT scan, x-ray machine, Ultrasound (Sonography), PET Scan. Zote hizo ni kwaajili ya kupima.

TANZANIA
1. Altrasound machines - 970
2. X-ray machines - 469
3. MRI machine - 14
4. CT scan machines - 40+
5. PET scan machines - 3

Tanzania Nchi ya Nne Afrika kuwa na PET SCAN, Kenya Zero 🤣🤣🤣🤣
 
Kitui County Stadium Renders. Construction in progress.

1000024564.jpg

1000023895.jpg
1000023899.jpg
1000023896.jpg
1000023894.jpg
 
Utajinyea wewe. 🤣🤣🤣 anyways location ni Tabata kitambaa cheupe, let’s celebrate life my guy. 👇🏾View attachment 3410308
Maskini akipata😂😂😂

Sasa beer za 50 bob ndio unaturingia hapa? You are always Primitive, Yani just because umekunywa beer sasa hatutapumua? No wonder huwa unasherekea ukipanda basi.
 
Nani anasema 1 doctor per 10,000 people? 🤣 🤣 🤣 🤣 MRI ni kwaajili ya kupima. MRI, CT scan, x-ray machine, Ultrasound (Sonography), PET Scan. Zote hizo ni kwaajili ya kupima.

TANZANIA
1. Altrasound machines - 970
2. X-ray machines - 469
3. MRI machine - 14
4. CT scan machines - 40+
5. PET scan machines - 3

Tanzania Nchi ya Nne Afrika kuwa na PET SCAN, Kenya Zero 🤣🤣🤣🤣
Hajui kama hivyo ni vile vipimo rare kufanyika.
Ndio maana hata TZ tulipozinunua tumelenga zaidi kikanda yani hospitali za kanda ili zihudumie kikanda.
Tumelenga idadi kulingana na mahitaji.
Yeye anadhani hivyo vipimo ni kama bioline ama unigold unavitumia mara kwa mara ama kama vipimo vya malaria rapid test kits.
 
Maskini akipata😂😂😂

Sasa beer za 50 bob ndio unaturingia hapa? You are always Primitive, Yani just because umekunywa beer sasa hatutapumua? No wonder huwa unasherekea ukipanda basi.
This is my lifestyle since I was a kid at school. 😄😄 wew ulilipiwa Ada na kanisa 🤣🤣🤣 I know you better.
 
Back
Top Bottom