Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uchimbaji wa Uranium na uzalishaji wa umeme umenukia kwa sasa:

View: https://www.instagram.com/p/DMSRnqzK7JK/?utm_source=ig_web_copy_link

Mantra Tanzania Limited is a subsidiary of Uranium One Group and its parent shareholder, the State Atomic Energy Corporation of Russia (ROSATOM).

Tanzania Holds Stake in Mantra's Uranium Project​

The Tanzanian government holds a significant stake in Mantra Tanzania Limited, the company developing the Mkuju River Uranium Project. This is in line with the country's 2017 mining legislation that mandates a minimum 16% non-dilutable free-carried interest for the state in all mining projects.
 
According to you, those two pictures are of the same place?
Vituko hivi mnaendelea navyo?
1752928883190.png
 
Tanzania Instant Payments System (TIPS) Wakenya wanashangaa tu. Sisi tunaendelea
Huu mfumo umewaamsha Visa wakimbie haraka kuja Tanzania.
  • In 2024 alone, TIPS handled over 490 million transactions worth TZS 15.7 trillion (approx. USD 6.5 billion).
  • Now averaging 1.5 million transactions per day, with capacity to handle even more.
  • More than 45 financial service providers already connected.

1752930098006.png
 
Ona hii jamaa.
Kwanza unajua MRI na CT scan zinapima vipimo aina gani!?
Fanya ratio kwa mwezi hivyo vipimo vinatumika kwa watu wangapi.
Pia fanya ratio hospitali za kanda ziko ngapi.
Unaweza ukakaa mwezi mzima waliitumia MRI wasifike hata 20.
Hivyo vipimo sio vya kutumika mara kwa mara.
Ndio maana zilichukuliwa kwa kuhudumia kikanda.
Ama upo kanda ya kaskazini utatoka uende hospitali ya kanda ya kaskazini ukapatiwe vipimo vya MRI.
Unanunua kwa Kulenga mahitaji.
Tumia akili wewe.
Spoken like a true quack, bongoslum just like many African countries has a very high shortage of radiology machines (MRI & CT Scans). Lack of infrastructure, radiologists and high cost of imaging isikufanye ufikirie kama pumbavu, eti people don't need radiology services. MRI for example are very crucial in diagnosing crucial body organs. Now I understand mbona public hospitals zenu nyingi haziwezi kuperform surgeries on critical internal body organs. It's because they lack proper infrastructure, ndio kwa maana unadhani 14 MRI Machines are enough for a country with almost 70 million people.
 
punguza kelele leta hizo 19 MRI zilizobaki!
 
Wakiwahisha mambo mzigo wa SGR Uganda unaweza kupita either Tanga au DSM port badala ya Mombasa.

Hadi sasa logistical analysis inasoma 50/50 kati ya Bongo na kunyaland kwenye kupitishwa mizigo hiyo. Ni wakati muafaka Sasa kwa GoT na TRC kufanya namna ya kumshawishi Uganda Railway. Najua sio kazi sana maana TRC ndio wame revamp hiyo reli ya UG Hadi Port Belly. Hivyo wanaweza kushirikiana kubeba mzigo huo kwa loco na wagon zao kwa pamoja. Tuwape njia yetu waitumie tu freely.
 
Hata kama wakimaliza ujenzi wa sgr mpaka malaba bado kwa kutumia reli ya sgr tunaweza safirisha kwa gharama ya chini sana mpaka mwanza na ukafika Uganda kwa bei ya chini ya Ile ya sgr Kenya kutokana -
1) gharama ya ununuzi wa mafuta na umeme , gharama ya diesel Inaweza kuwa 3 ya gharama ya umeme. Kuna bei tukiweka wakenya hawataweza kuweka kamwe au kushuka .

2 sgr kukosa wider market au mzigo wa kurudi bandarini hivyo kutegemea mzigo wa bandari tu, sisi pale isaka kutakuwa na mzigo wa nickel kutokea kabanga iliyopo kagera , pia kuna mizigo ya cobalt na kadhalika kutoka Kongo na Burundi.

Kama tukiweka bei ya usd 700 kwa container la 20ft mpaka mwanza plus 450usd ya kuvusha kwa maji mpaka portbell , yaan dar Uganda isizid 1300 lazima wateme mbung'ooo
 
Back
Top Bottom