Wewe ndio unajua kuliko MOH. Sawa.Huna hizo machines, maelezo yasiwe mengi
View: https://x.com/MOH_Kenya/status/775572278369251328
Wewe ndio unajua kuliko MOH. Sawa.Huna hizo machines, maelezo yasiwe mengi
Kenya iko na ngapi, nimeona umepost moja tu. 🤣🤣🤣 the rest ni maneno ya kwenye kanga. Vipi unaimba taarabu siku hizi.?
Imefikiwa na kajidipii ketu ka $131B. Sisi hatuna uwezo wa GDP ya 400B 🤣So, Korogocho haijafikiwa na GDP kubwa?
Kwa Sasa hakuna Tena ule msururu wa Meli Coco beach zikisubiri kuingia Bandarini. DP wame funga mitambo mipya wana uwezo Hadi wa kuhudumia meli nyingi kwa wakati mmoja. Kuna crane zinapakua mzigo melini na kuweka Yard direct.Hiv zile meli za coco beach ni uzembe au bandari haitoshi?
Hivi kwanini wakenya mkimaliza kunya huwa hamsafishi anus kwa maji? Mnatembea na kimba kwa anus.Wewe hata Samia akienda choo kukunia utasema Wakenya wanaumia.
Ur CS anasema all public hospitals while unasema 21 hospitals! Tumsikileze nani?
View: https://x.com/MamboMseto254/status/1900457731095462378
Kwa hivyo MOH ni a private organization?tunataka hospitali za umma sio private bana.
Unataka tununua MRI ambazo hatuzitumii? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wakenya ni wajinga kweli.GDP ya 400 billion dollars na mkona 14 MRI machines and 40 CT scan pekee. 🤣 🤣 🤣
Ur CS anasema all public hospitals while unasema 21 hospitals! Tumsikileze nani?
View: https://x.com/MamboMseto254/status/1900457731095462378
Close to 70 million people na hata huna aibu kushabikia 14 MRI machines pekee.Unataka tununua MRI ambazo hatuzitumii? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wakenya ni wajinga kweli.
Open lies!Moja ni taarifa ya 2016 ingine ni ya 2025. Hivi we mzee una shida ya akili ama?
Unajua kazi MRI? 🤣 🤣 🤣 🤣 Huenda tunaongea na mtu hapa hajui hata kazi yake. MRI ni inatumiaka kwaajili ya kupima mdogo wangu. Sasa unataka watu 70M waende kupimwa wakati hawana uhitaji? Sijawahi kuona mjinga kama wewe tangu dunia hii iumbweClose to 70 million people na hata huna aibu kushabikia 14 MRI machines pekee.
Weeeee kama hivi ndio hua munareason naelewa mbona nyinyi ni primary school dropouts. Kwa hivyo watu wa statistics wakisema 1 doctor per 10,000 people inamaanisha hao ni wajinga ju sio kila mtu anafaa kua mgonjwa. 🤣 🤣 🤣 Usiwe mjinga bana..Unajua kazi MRI? 🤣 🤣 🤣 🤣 Huenda tunaongea na mtu hapa hajui hata kazi yake. MRI ni inatumiaka kwaajili ya kupima mdogo wangu. Sasa unataka watu 70M waende kupimwa wakati hawana uhitaji? Sijawahi kuona mjinga kama wewe tangu dunia hii iumbwe
Dogo MRI siyo chakula kilma mmoja anaweza kula.
Kwa sababu over 70% ya workforce ni independent na self-employed. Unlike Wakenya na Wasouth ambao kila mtu ni muajiriwa ni kipindi cha holidays tu wanaenda ushago.Demand ya seats ni kubwa mkuu. Tanzanians ndio taifa amabalo watu wake wengi wanasafiri sana. Hata mabasi siku hizi lazima ukate ticket a day before au mapema asubuhi kama unasafiri usiku bila hivyo hupati seat.