Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

game over wa kuponda kwenu Mbeya ni hivi,kazi ya ujenzi wa magorofa inayoendelea Mbeya Kwa Sasa ni tamu sana.

Labda Changamoto ni kwamba majengo yanayojengwa sio marefu.Ukianzia Uyole ,Mwanjelwa New CBD,Old CBD matola all the way to mbalizi Hadi Songwe Viwandani kote huko ni magorofa yanaota.

I spotted some maeneo ya Mwanjelwa -Forest
IMG_20250718_153952_201.jpg
IMG_20250718_154129_510.jpg
IMG_20250718_114956_094.jpg
IMG_20250718_114957_229.jpg
IMG_20250718_114450_081.jpg
IMG_20250718_114450_838.jpg
IMG_20250718_150932_943.jpg
IMG_20250718_150930_881.jpg
IMG_20250718_104031_695.jpg
IMG_20250718_103923_640.jpg
IMG_20250718_152719_770.jpg
IMG_20250718_152720_447.jpg
IMG_20250718_110540_087.jpg
IMG_20250718_105845_226.jpg
IMG_20250717_165218_052.jpg
IMG_20250717_154638_347.jpg
IMG_20250718_103712_949.jpg
IMG_20250718_103712_485.jpg
IMG_20250718_122903_309.jpg
IMG_20250718_122904_582.jpg
 

Attachments

  • IMG_20250718_150930_881.jpg
    IMG_20250718_150930_881.jpg
    588 KB · Views: 25
Kwa hivyo 14 MRI na 40 CT scan pekee zimetosha nchi nzima, na ulisema wewe ni clinical officer. You should really feel ashamed of yourself.
Ona hii jamaa.
Kwanza unajua MRI na CT scan zinapima vipimo aina gani!?
Fanya ratio kwa mwezi hivyo vipimo vinatumika kwa watu wangapi.
Pia fanya ratio hospitali za kanda ziko ngapi.
Unaweza ukakaa mwezi mzima waliitumia MRI wasifike hata 20.
Hivyo vipimo sio vya kutumika mara kwa mara.
Ndio maana zilichukuliwa kwa kuhudumia kikanda.
Ama upo kanda ya kaskazini utatoka uende hospitali ya kanda ya kaskazini ukapatiwe vipimo vya MRI.
Unanunua kwa Kulenga mahitaji.
Tumia akili wewe.
 
Hayo ndio mambo tunayakataa umu kupangiwa rafika kisa anakupa mkopo tutakua hatuna tofauti na wakenya kwa wamarekani
South Korea huwezi kuingia nao makubaliano ya kushirikiana bila kukiri upo upande wao kinyume na north Korea, ndio maana walikubali wskasign memorandum of understanding, halafu sio mkopo ni bure Tanzanite bridge ni bure (grants) na Mloganzila na vitu vingine kibao
 
game over wa kuponda kwenu Mbeya ni hivi,kazi ya ujenzi wa magorofa inayoendelea Mbeya Kwa Sasa ni tamu sana.

Labda Changamoto ni kwamba majengo yanayojengwa sio marefu.Ukianzia Uyole ,Mwanjelwa New CBD,Old CBD matola all the way to mbalizi Hadi Songwe Viwandani kote huko ni magorofa yanaota.

I spotted some maeneo ya Mwanjelwa -Forest View attachment 3410478View attachment 3410479View attachment 3410480View attachment 3410481View attachment 3410482View attachment 3410483View attachment 3410484View attachment 3410485View attachment 3410486View attachment 3410487View attachment 3410488View attachment 3410489View attachment 3410490View attachment 3410491View attachment 3410492View attachment 3410493View attachment 3410494View attachment 3410495View attachment 3410496View attachment 3410497
Ila Mbeya bado sana Moshi Town ina majengo ya maana na marefu zaidi!
 
Back
Top Bottom