Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia tena aya mambo yanerekebishika ata ulaya mika miaka 70 iliyopita zilikua haziivi ila leo ni sautii moja na ndio nguvu yao kubwa sana hvi vibifu vya hapa na pake ni suala la maslai tuu na ndio maana wamejiinga EAC ,umoja wetu ndio utatoa hapa na kutuweka sawa na nchi kama china nk
Nani anarekebisha??

Wanarekebisha kuwaje?

Hivi unaijua nguvu ya Socialism vs Capitalism?

Kenya ni nchi ya watu, ambao hawawezi kuruhusu ibadilishe uelekeo hata kidogo. Itakuwa sawa na kudai Uhuru mara ya pili.

Inaona kilichowakuta Zimbabwe walipopora Wazungu ardhi??

Kenya kuna settlers wanamiliki ardhi kama karibu Laikipia yote.

Juzi, Rutto amekwenda China kutafuta mikopo, amejadiliwa mpaka kwenye bunge la Marekani kuwa anataka kubadilisha uelekeo

Haya mambo siyo kusema, yalishaota mizizi. Kuyabadilisha ni kujikana na sidhani kama kuna mtu anataka kufanya.
 
Orania ni private property ambapo wenye nayo wameamua kuishi hivyo na ni swala lipo kwenye katiba yao.
Rwanda watakuwa wamemaliza swala la utaifa na kuingia kwenye swala la udogo wa ardhi.
Hili la private property unawasikiliza wao wenyewe wazungu.

Kiuhalisia hakuna private property ndani ya nchi ikawa na utawala wake, sarafu, bendera, monuments za makaburu wao, historia, lugha na elimu.

Hiyo ni nchi.

Wanasubiri kutambuliwa tu.
 
Unajua watu wanaposema Tz inaushawishi Afrika, wanadhani ni zile hotuba za Nyerere, watu wakisikiliza, wanacheka kama wako kwenye comedy club.

Nchi yetu ni king maker south of the Sahara. Kuanzia Sudan, Ethiopia, Nigeria, DRC, mpaka South Africa. kote huko kuna footprint zetu. Siyo hapo tuu hadi tuliiwezesha nchi moja kubwa duniani kuwa na kibesi UN.
TZ tulikuwa zamani. Na huu ni msingi wa Nyerere.

Mambo mengi ni SCRIPT ya Nyerere.

Hiyo akili kwasasa hatuna. Tunashindwa kutatua vimatatizo kidogo sana
 
Another Stadium Coming up in Kitu County. At this rate by 2027 every county in Kenya will have a decent Stadium.

View attachment 3409222View attachment 3409223View attachment 3409224View attachment 3409225View attachment 3409226View attachment 3409227
Kenya uchumi wenu na hali ya maisha ni duni mno kujenga hizi cowsheds countrywide, kwanini hizi pesa msingejengea irrigation dams mtoe ajira kwa vijana wenu? Hizi substandard cowsheds haziwasaidii kitu sababu ninyi hata sio football nation, mtacheza hapo mara 1 kwa miezi mitatu mfungane mvunje viti na properties tofauti na Tanzania mechi kila siku na viingilio ni vingi hence ni viable commercial investment, ni kama naislum mmejaza maviwanja mengi lakini I bet you know hakuna siku hata 1 viwanja vyote kwa pamoja viliwahi kuwa occupied, sijui nani anawasaidiaga kufikiria.
 
You are done because you are running out of gas, you can't produce any evidence of $250B GDP country that do what we do in Tz.

NairobiWalker Unaelewa maana ya logic hii hapa juu au hata "Githafu" za logic hujui?
Wee nawe una ubishi wa kijinga. Yani umesema kitu wazi hadi unapewa quote ya post yenyewe ila unabisha kisha unajaribu kubadili mjadala. Hata ni vizuri huyo NairobiWalker amekataa kuvutwa na huo upuzi wako wa 'nionyeshe nchi ya $250B bla bla' maanake anajua unajaribu kukwepa usionekane mjinga wakati kila mtu ashauona ujinga wako. Ni wazi hata akikupea hizo nchi utabadilisha mjadala na kuuvuta kwenye upuzi mwengine. Na bado unajiona mjanja sana kisa bongolala wenzako wanalike hizo post zako za ufedhule.
 
Kenya uchumi wenu na hali ya maisha ni duni mno kujenga hizi cowsheds countrywide, kwanini hizi pesa msingejengea irrigation dams mtoe ajira kwa vijana wenu? Hizi substandard cowsheds haziwasaidii kitu sababu ninyi hata sio football nation, mtacheza hapo mara 1 kwa miezi mitatu mfungane mvunje viti na properties tofauti na Tanzania mechi kila siku na viingilio ni vingi hence ni viable commercial investment, ni kama naislum mmejaza maviwanja mengi lakini I bet you know hakuna siku hata 1 viwanja vyote kwa pamoja viliwahi kuwa occupied, sijui nani anawasaidiaga kufikiria.
Kenya hawana vision.

Wako too addictive to cosmetic development.

Hawawezi kukuelewa.

Kwasasa wako busy na smart cities (Northlands city, Konza Metropolis na Tatu City)

😅
 
Wee nawe una ubishi wa kijinga. Yani umesema kitu wazi hadi unapewa quote ya post yenyewe ila unabisha kisha unajaribu kubadili mjadala. Hata ni vizuri huyo NairobiWalker amekataa kuvutwa na huo upuzi wako wa 'nionyeshe nchi ya $250B bla bla' maanake anajua unajaribu kukwepa usionekane mjinga wakati kila mtu ashauona ujinga wako. Ni wazi hata akikupea hizo nchi utabadilisha mjadala na kuuvuta kwenye upuzi mwengine. Na bado unajiona mjanja sana kisa bongolala wenzako wanalike hizo post zako za ufedhule.
Ungepata hizo nchi za GDP ya $250 zenye uwezo wa kufanya tunayofaya Tz, ungesha leta. Sababu ya kutoa lugha chafu na mwezio kukimbia ni dhahiri umeshindwa hoja.
 
Kenya hawana vision.

Wako too addictive to cosmetic development.

Hawawezi kukuelewa.

Kwasasa wako busy na smart cities (Northlands city, Konza Metropolis na Tatu City)

😅
Na hizo cities hata sio government owned ni za wazungu na 1 ya uhuru for money laundering ya ufisadi, wanazika billions of money kwa kitu ambacho wanatumia mara 3 kwa mwaka 😂😂 hivi viwanja vitatumika zaidi kwa government functions zaidi ya commercial functions na vitawapa hasara kuvihudumia na bado ni masikini, viwanja vya FIFA WC kule SA tu vingi vimetelekezwa na SA wana uchumi mkubwa zaidi ya Kenya

Hii Talanta wangeijenga hata Mombasa washare hasara tena iwe 30k seaters hiyo pesa nyingine wafanye renovations kwenye hayo mapagale yao, nyayo na Kasarani vilitosha kabisa for naislum
 
Narudia tena aya mambo yanerekebishika ata ulaya mika miaka 70 iliyopita zilikua haziivi ila leo ni sautii moja na ndio nguvu yao kubwa sana hvi vibifu vya hapa na pake ni suala la maslai tuu na ndio maana wamejiinga EAC ,umoja wetu ndio utatoa hapa na kutuweka sawa na nchi kama china nk
Mkuu mfano wa Africa na ulaya sio sawa, tatizo kubwa la Africa ni njaa, kuanzia viongozi mpaka raia, hatutakuja kuwa pamoja mpk njaa itakapokoma.
 
Na hizo cities hata sio government owned ni za wazungu na 1 ya uhuru for money laundering ya ufisadi, wanazika billions of money kwa kitu ambacho wanatumia mara 3 kwa mwaka 😂😂 hivi viwanja vitatumika zaidi kwa government functions zaidi ya commercial functions na vitawapa hasara kuvihudumia na bado ni masikini, viwanja vya FIFA WC kule SA tu vingi vimetelekezwa na SA wana uchumi mkubwa zaidi ya Kenya

Hii Talanta wangeijenga hata Mombasa washare hasara tena iwe 30k seaters hiyo pesa nyingine wafanye renovations kwenye hayo mapagale yao, nyayo na Kasarani vilitosha kabisa for naislum
Wao walisha kariri Nairobi.

Wangekuwa na akili, wangekomaa na LAPSSET, Lamu Pipeline na SGR.

Wanajengea nyumba foreignwrs wanaotaka ku-escape maisha ya Ulaya halafu, vijana wao wanawatafutia vibarua Qatar🤔
 
Mkuu mfano wa Africa na ulaya sio sawa, tatizo kubwa la Africa ni njaa, kuanzia viongozi mpaka raia, hatutakuja kuwa pamoja mpk njaa itakapokoma.
Shida kubwa ya Africa wala hata siyo njaa.

Ni PUPPETISM, UBINAFSI, LOVE OF SHORTCUTS na KUKOSA SUBIRA.

Mtu anaona badala ya kutengeneza nyumbani kwake ni kazi nzito, anaiba anapeleka ULAYA.

Na kibaya zaidi bado tuna mentality kuwa ULAYA ni Mbinguni, wakati watu wa Ulaya wameshtuka wanatafuta kwa kila namna kukimbilia AFRIKA.
 
Na hizo cities hata sio government owned ni za wazungu na 1 ya uhuru for money laundering ya ufisadi, wanazika billions of money kwa kitu ambacho wanatumia mara 3 kwa mwaka 😂😂 hivi viwanja vitatumika zaidi kwa government functions zaidi ya commercial functions na vitawapa hasara kuvihudumia na bado ni masikini, viwanja vya FIFA WC kule SA tu vingi vimetelekezwa na SA wana uchumi mkubwa zaidi ya Kenya

Hii Talanta wangeijenga hata Mombasa washare hasara tena iwe 30k seaters hiyo pesa nyingine wafanye renovations kwenye hayo mapagale yao, nyayo na Kasarani vilitosha kabisa for naislum
Ni rahisi kutabiri kwamba talanta itakuwa pagale mana haikuhitajika Kenya, kwanza Kenya sio football country, ligi yao yenyewe ya mpata mpatae alafu wanajenga uwanja kama wa Mkapa ili iweje? Hawa ni wajinga sn, it's better wangejenga viwanja vya riadha.
 
Wacha upuuzi mama Samia hakubaliki kwa Wasukuma! Wasukima wote wanaamini baada ya JPM ilipaswa Msukuma mwingime awekwe kumalizia term yake!
Wewe ni Muongo na Bingwa wa kutunga uongo. Mabeyo Ndiye aliye simamia na ndiye aliyemlida Mama Samia. Wengine walitaka asiwe Rais. Mabeyo ni msukuma.

98% ya Wasukuma/Nyamwezi wote ni CCM
 
Back
Top Bottom