Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni mjinga anahaha sana. Tunamjua sana proposal yake ya NALA aliyoiwasilisha huko Silicon Valley ilimpatia $100,000 ili aje ku implement ha TZ but failed.

Akapeleka proposal nyingine na akaongezewa akaja na hiyo issue ya remittance. Akaijaribu hapa TZ akaangukia pua ndipo sa akaenda kenya.

Pesa ya muwekezaji bado haijarudi wamarekani wata myonya mavi.

Na ile project yake ya kwanza ya mfumo wa malipo alipo enda BOT wakamwambia aweke pesa ya insurance kwenye account hakuwa na pesa hiyo just $100,000 anataka avune pes nyingi ki ujanja ujanja tu.

Tanzania inajua watakaoshughulikia siyo wabongo bali ni hao wamarekani. Siyo muda mrefu watampelekea moto.
 
Anataka eti ajiite muwekezaji kwa hizo $100,000. Anataka eti awe treateded same kama Azam Pay, Tigo Pesa, M pesa nk.

Wamarekani wana mchora tu. Anaruka ruka kama maharage kwenye chungu. Watammaliza kama walivyommaliza Manj.
 
Back
Top Bottom