Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wait for SGR operations from 2024 to 2025.
Kwa sababu Basic operations zilianza June na officially August. November wakaanza EMU.

Sema Mimi ubishi wa kijinga siuwezi.
Data umeleta mwenyew na hujui kuzisoma
This figure ni ya 2024/2025. Kama hukubaliani na serikali yako basi kufa na ujikize pia. Mwaka wa serikali huwa unaanza June na kuishia June, so this report ni ya June 2024-June 2025. AMA mlikuwa mnabeba abiria kwa hiyo SGR yenu before June 2024?

IMG_1550.jpeg
 
What Mombasa Port handled in 2024 is double of what all Tanzanian ports did in 2024😂😂🤣

IMG_1550.jpeg
 
Passengers service yetu reli ikifika kigoma na Mwanza ina potential ya kuingiza revenues kiasi cha USD 150 million pa
Mpaka kufikia march 22 ilikuwa ishabeba 60bil kwa ajili ya abiria tu sawa na ksh 3bil ndani ya kipindi Cha miezi nane wastani wa ksh 372mil kwa mwezi.
krc ikiwa na 4.099 kwa miezi 12 ya mwaka wastan wa 333mil ksh per month🤣🤣🤣🤣
 
Passengers service yetu reli ikifika kigoma na Mwanza ina potential ya kuingiza revenues kiasi cha USD 150 million pa
Kama sikosei target ya 2025/2026 ni abiria 6mil nadhan tutafika hii pale oparesheni ya tabora itakapoanza tu
 
This figure ni ya 2024/2025. Kama hukubaliani na serikali yako basi kufa na ujikize pia. Mwaka wa serikali huwa unaanza June na kuishia June, so this report ni ya June 2024-June 2025. AMA mlikuwa mnabeba abiria kwa hiyo SGR yenu before June 2024?

View attachment 3394810
2024/2025 ndo tumeimaliza juzi na kwanza wahasibu ndo wako wanafunga hesabu Dodoma sasa hivi ili vifungu vya matumizi vifunguliwe na malipo yaanaze kufanyika sasa , na mpaka sasa hakuna taasisi ya serikali ambayo ishafanikiwa kumaliza hesabu za mwaka 2024/2025 kwa ajili ya kugazette hii yako umeitolea wapi kama sio ya mwaka 2023/2024🤣🤣🤣🤣

Acha kukurupuka 🤣🤣🤣financial year Tanzania huwa inaishia 30/6 ya Kila mwaka na kuanza 1/7 ya Kila mwaka
 
Kenya Exported goods worth $8.7B in Total while Tanzania total export in 2024 was $8.2B.

IMG_1552.png

IMG_1553.png
 
2024/2025 ndo tumeimaliza juzi na kwanza wahasibu ndo wako wanafunga hesabu Dodoma sasa hivi ili vifungu vya matumizi vifunguliwe na malipo yaanaze kufanyika sasa , na mpaka sasa hakuna taasisi ya serikali ambayo ishafanikiwa kumaliza hesabu za mwaka 2024/2025 kwa ajili ya kugazette hii yako umeitolea wapi kama sio ya mwaka 2023/2024🤣🤣🤣🤣

Acha kukurupuka 🤣🤣🤣financial year Tanzania huwa inaishia 30/6 ya Kila mwaka na kuanza 1/7 ya Kila mwaka
Pingana na serikali yako nguruwe hii.👇👇👇👇

1751713623662.png
 
Kenya had a surplus balance of trade against Tanzania. Yani tumeuzia Tanzania more kuliko vile tumenunua kutoka kwao😂😂😂

Export to Tanzania is $670M

IMG_1555.jpeg

Imports from Tanzania is $580M

IMG_1554.jpeg
 
Balance of trade between Kenya and Tanzania. We always have surplus against these lazy bustards.

IMG_1556.png
 
Hatuwez kupiga revenue ya cargo sababu kwanza jua bado sgr na kipande Cha mgr sasa hivi havinakamilikabkuingia bandarin.
Siku mizigo ikianza Toka bandarini ndo tutarudi hapa tufanye comparison.

Tukisema tuje kwa passenger revenue tu hata kabla hatujakamlisha ripoti ya mwaka tukianza kwa kuangalia nauli tu, nauli zote za Tanzania kwa economy tz ni expensive kuliko Kenya i.e economy Kenya 1500ksh,
Tz 31,000=1550
Kenyan first class= 4500 = 90,000tsh
Tanzania tuna royal class
Premium= 150,000= 75000 huwa seat 35
Business class royal= 5000 ksh seat 535
Kuna locomotive royal na business 90,000 kwa 70000
Kwa hiyo tukija kwenye issue ya pricing bado revenue ya Tanzania itakuwa juu sababu ukitoa premium class ya Kenya ambayo huwa Ina mabehewa mawili hakuna sehemu bei mmetuzid hence revenue automatically lazima iwe juu.
Personal driving , bado Kuna majority wanatembeza magari yao kwa wingi zaid ya unavyofikiria , hayo utayaona kama ukiamua kutembea kwa barabara.
Kuhusu air transport Mombasa Inaweza frequency nyingi lakini haziwez fikia hata kucover hata treni moja ya emu na hapa hatuzingumzii air frequency bali sgr
Yet the same route has zero air traffic.
 
Kisumu airport has more domestic passenger than any airport in Tanzania 😂😂🤣🤣😂

Kisumu-Nairobi -1.5M
Kisumu-Mombasa - 100k.

IMG_1558.png

JNIA domestic travel 1.2M😂😂🤣🤣
Kilimanjaro -300k
Mwanza-821k
The remaining airports combined has less than 800k domestic passengers 😂😂🤣🤣

IMG_1557.png

Kisumu receives more passengers than all airports in Tanzania expect Mabati Rolling Mill and Zanzibar.
 
Pingana na serikali yako nguruwe hii.👇👇👇👇

View attachment 3394822
Vizuri sana hapo umewekewa data za mpaka December ikiwa ni report ya quarter ya pili , kuna quarter 1,2,3,4 kwenye report za serikali na ndo maana hukuti data za 2023 kwa upande wa sgr sababu imeanza July /2024
Baada ya miezi sita ilikuwa ishatransport 1.4mil
Ebu tuambie kuhusu Kenya

chrome_screenshot_Jul 5, 2025 2_07_28 PM GMT+03_00.png

Yaan kwa miaka mitano mkasafirisha 7.8mil passengers 2017-2022🤣🤣🤣
 
Vizuri sana hapo umewekewa data za mpaka December ikiwa ni report ya quarter ya pili , kuna quarter 1,2,3,4 kwenye report za serikali na ndo maana hukuti data za 2023 kwa upande wa sgr sababu imeanza July /2024
Baada ya miezi sita ilikuwa ishatransport 1.4mil
Ebu tuambie kuhusu Kenya

View attachment 3394860

Yaan kwa miaka mitano mkasafirisha 7.8mil passengers 2017-2022🤣🤣🤣
You are Primitive idiot. Kama hufurahishwi na hii report ya serikali yako jinyonge jinga hii.

1751715440889.png
 
Back
Top Bottom