Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,111
In Tanzania for one to see an interchange lazima wafike Dar while in Kenya interchanges are everywhere.
View: https://x.com/KenyanSays/status/1943149467198206042?t=fwNZk08zMFyGpm60y4JIOw&s=19
We manufacture planes 😁Kende gani? Ya kuwaambia kwamba Tanzanians know nothing?
Tunafanya prioritization ya resources mkuu jenga when you have a need maana resources are meagre.Ndio tunapokosea hapo tunafaa tujenge kulingana na uhitaji wa mbeleni sio sasa kama serikali inafahamu mji unapanuka kwa kasi kwanini wajenge lane 2 alafu badae baada ya miaka 5 waje wabomoe tena waongeze lane moja kila upande
Wewe ni kichaa? Sasa kama team itatumia Ethiopian airlines (ET) unataka ianze kuja Nairobi? Kama team itatumia Uganda airlines (UR) unataka ianze kuja Dar es salaam? Mwehu wewe Watchman.Of course time will tell and I am going to quote you a few days from now when teams will be jetting in Nairobi from across Africa. The funny thing is, some of the teams that are going to play their matches in that glorified fishing village will first land in Nairobi before making the journey south. As I told you, yajayo yanafurahisha!
The finals will be held in Nairobi. Toka nje ya Tandale, the world doesn't start and end thereFishing village hii ndio itayotamatisha mashindano.
So, CAF wajinga walete teams Kenya?The finals will be held in Nairobi. Toka nje ya Tandale, the world doesn't start and end there
You mean Ethiopian Airlines doesn't fly to JKIA or what's exactly your point?Wewe ni kichaa? Sasa kama team itatumia Ethiopian airlines (ET) unataka ianze kuja Nairobi? Kama team itatumia Uganda airlines (UR) unataka ianze kuja Dar es salaam? Mwehu wewe Watchman.
You've hit desperation mode and it's so interesting how you losing it. Don't believe everything you see on the internet. That's Malawi watchman.
Why does it pain you? Is it your money in use? The interchange is in Eldoret, one of the fastest growing towns in Kenya and which was recently declared a city. Wewe kwa akili yako finyu you don't see the need of an interchange in such a place, just because Arusha yenu ama Mwanza yenu hazina? Mbona mnalazimisha tufanane? Si Kila siku mnatuambia hapa maendeleo ni Nairobi pekee yake? When did the beats change? KumbaffKenya uongozi wenu haunaga akili.
Wacha kukaza fuvu,unajengaje interchange sehemu ambayo hakuna ubize we magari!?
Kenya is already dead
Tembea uone acha kuzunguka hapo kibera tuu. Hapa amemaanisha kuwa mtu akipanda Ethiopian airline from from whatever country lazima atabadilisha ndege Ethiopia na kuja DSM straight from Addis bila kupitia Nairobi the same applies kwa Ugandan or Rwandese airlines. Sio lazima mtu apite nairobi.You mean Ethiopian Airlines doesn't fly to JKIA or what's exactly your point?
Ndio mnasema mna barabara nyie traffic jam yote hiyo kwani hakuna alternative roads?
The fact there are fewer airlines with direct flights to your glorified fishing village should tell you somethingTembea uone acha kuzunguka hapo kibera tuu. Hapa amemaanisha kuwa mtu akipanda Ethiopian airline from from whatever country lazima atabadilisha ndege Ethiopia na kuja DSM straight from Addis bila kupitia Nairobi the same applies kwa Ugandan or Rwandese airlines. Sio lazima mtu apite nairobi.
Tukipost barabara zenye hazina magari mengi mnalalamika. Tukipost zenye ziko na magari mengi bado mnalalamika. What exactly do you want?Ndio mnasema mna barabara nyie traffic jam yote hiyo kwani hakuna alternative roads?
Tanzania is buriedKenya is already dead
Tanzania has modern Electric SGR, but kenya has primitive very slow fossil trains 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 This is the proof that kenya is dead moving backwardTanzania is buried
How about poverty rate bongolala? I think that's more important than what you are mentioning hereTanzania has modern Electric SGR, but kenya has primitive very slow fossil trains 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 This is the proof that kenya is dead moving backward