Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,111
Imebaki Mbeya city bila mradi wa 5 star hotel! 😀 😀 😀😀










Yani unafananisha Dar na Nairobi kuhusu mwanga? Wewe ni kichaa, 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3399117
They are actually a million. Why do you forgett so fast watchman?Kwani Kenya ni Kibera pekee? Kenya nzima ni ma slums everywhere, Nairobi pekee ina ma slums zaidi ya 300.
Mambo ya chumbani ya kupika data yaanza kuwekwa hadharani 🤣🤣🤣
View: https://www.facebook.com/share/p/1JnMmqp6ik/
Nimekuletea picha za Kasarani area ukiwa na lights all around lakini umekwama ni hii angle kujipa matumaini. Nimekuambia tulete satellite images za usiku kati ya Dar na Nairobi tujue ni wapi Kuna giza hutaki. Continue consoling yourself watchmanYani unafananisha Dar na Nairobi kuhusu mwanga? Wewe ni kichaa, 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3399117
That's Kibera slum as usual. You asked for Mukuru slum I gave you an answer but since it's not what you expected, you've resorted back to Kibera as usual
Nmekuambia kuna ma slums zaidi ya 300 Kenya, kwnn unaionea Kibera? Huipendi? Basi kaiondoe kwenye ramani, c ulisema unaweza kuondoa area kwenye ramani wewe?That's Kibera slum as usual. You asked for Mukuru slum I gave you an answer but since it's not what you expected, you've resorted back to Kibera as usual
I told you there are a million slums in Nairobi, not 300. Why do you forget so fast watchman?Nmekuambia kuna ma slums zaidi ya 300 Kenya, kwnn unaionea Kibera? Huipendi? Basi kaiondoe kwenye ramani, c ulisema unaweza kuondoa area kwenye ramani wewe?
Ngoja nitakuwekea KMC Stadium uondoe ushamba
So huu ndiyo uwanja utatumika kwenye Afcon huko Kenya? Africa bhn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni wapi ulisikia Nyayo stadium itatumika AFCON? Ama ndio kutuliza maumivu?So huu ndiyo uwanja utatumika kwenye Afcon huko Kenya? Africa bhn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
You mean this one of artificial turf and uswazi hovels all round ama kuna nyingine?Ngoja nitakuwekea KMC Stadium uondoe ushamba
Babu jinga zile over size zako ni vintage tosha kabisa 😃😃,si ungeenda tu kuwakilishaUko wapi hapo??.. 🤣🤣🤣