ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
leo dar ina watu over 7m tunatakiwa kufulikiria miradi ya 20yrs to come ambayo dar huenda ikawa na 10m peopleHata kama tunachelewa ila tunajenga kulingana na uhitaji.
Sasa kaka mfano Morogoro ukajenge flyover ya nini?
tusisubiri mpaka maji yatufike shingoni ndio tutapetape kama sasa hvi dar kila kona foleni njia zote zimebomolewa