Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni kichaa? Sasa kama team itatumia Ethiopian airlines (ET) unataka ianze kuja Nairobi? Kama team itatumia Uganda airlines (UR) unataka ianze kuja Dar es salaam? Mwehu wewe Watchman.

Mimi naona ni vizuri tu kama hizo team zitaanza kupitia kunyaland kwanza kabla ya kuingia Bongo.

Wacha wajionee mazingira ya East Africa vizuri. Watue kwenye maturubai ya hapo kunyaland then wamelizie kwa kushuka kwenye morden terminal III airport. Hakika watapata Cha kusimulia wakisharudi kwenye nchi zao.
 
Stop consoling yourself for not being an aviation hub
 
Abiria watakao pita hapo kunyaland then wakashuka na terminal III DSM ndio watatoa majibu.

Wewe endelea kuvuta hewa chafu ya uvundo hapo Tassia embakasi.
Pole kwa maumivu. JNIA will play catch-up hadi kiama
 
Tembea uone acha kuzunguka hapo kibera tuu. Hapa amemaanisha kuwa mtu akipanda Ethiopian airline from from whatever country lazima atabadilisha ndege Ethiopia na kuja DSM straight from Addis bila kupitia Nairobi the same applies kwa Ugandan or Rwandese airlines. Sio lazima mtu apite nairobi.
Mpumbavu huyo kichaa,hajui kitu inaitwa transit,kibera chang'aa haijawahi kumuacha salama
 
Tembea uone acha kuzunguka hapo kibera tuu. Hapa amemaanisha kuwa mtu akipanda Ethiopian airline from from whatever country lazima atabadilisha ndege Ethiopia na kuja DSM straight from Addis bila kupitia Nairobi the same applies kwa Ugandan or Rwandese airlines. Sio lazima mtu apite nairobi.
Huyo nyang'au bado ana mawazo ya kizamani😂
 
Back
Top Bottom