Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni ujinga kujenga uwanja wa mpira ndani ya CBD. Lazima utanue mji kidogo... Ila kwa Nchi ya hovyo ambayo barabara zipo CBD pekee... Nje ya mji ni slums tupu na vibaka bhas usalama wao na kuficha aibu ni kujaza kila kitu CBD.

Chukua mfano wa Hassan II stadium wa pale Morroco. Utaona namna uwanja uko mbali na shughuli na pilika za mjini. Mji inabaki kwa ajili ya biashara na kazi. Sio kujaza watu wa kelele za mpira huko.
Ebu nionyeshe uwanja wowote duniani yenye imejengwa msituni where there is no roads and electricity.

Anyway talking about roads, Ebu tuonyeshe barabara hapa

IMG_1088.jpeg
IMG_1087.jpeg
 
Ni ujinga kujenga uwanja wa mpira ndani ya CBD. Lazima utanue mji kidogo... Ila kwa Nchi ya hovyo ambayo barabara zipo CBD pekee... Nje ya mji ni slums tupu na vibaka bhas usalama wao na kuficha aibu ni kujaza kila kitu CBD.

Chukua mfano wa Hassan II stadium wa pale Morroco. Utaona namna uwanja uko mbali na shughuli na pilika za mjini. Mji inabaki kwa ajili ya biashara na kazi. Sio kujaza watu wa kelele za mpira huko.
Wakenya washamba sn aisee, wanapenda decorations kuliko uhalisia, kila kitu wanakijaza sehemu moja hata visivyokuwa na maana ili kuongopea watu, mm nakuambia afcon itabadili kila kitu, na ndipo watakapojiona bado sanaaa kujilinganisha na nchi zenye watu wenye vision.
 
Aibu gani hizi. Yani nchi imetekwa nyara na warabu!?🤣🤣🤣🤣🤣

Ngozi nyeusi imebaki ikipiga kelele JF na kutaja Azam 24/7 mali ya mwarabu🤣🤣🤣
Undelea kuumia ukiwa kwenye hilo Banda lako la mabati hapo Githurai......🤣🤣
Warabu ni warabu. That’s why their have their country of origin. Tanzania ni kwa akina maskini kama wewe na watchman.

Hata ni vizuri umewaita warabu, case closed.
Country of origin.....kawaulize hao wote kwao wapi watakwambia

Mo kwao Singida
Rostam kwao Igunga
Fida Hussein kwao lindi / mtwara
Abood kwao morogoro
Hao mabaniani kwao ni Bagamoyo
Bakhresa sio mwarabu ni mswahili...kwao Zanzibar

Endelea kuteseka tu mzee........
 
Undelea kuumia ukiwa kwenye hilo Banda lako la mabati hapo Githurai......🤣🤣

Country of origin.....kawaulize hao wote kwao wapi watakwambia

Mo kwao Singida
Rostam kwao Igunga
Fida Hussein kwao lindi / mtwara
Abood kwao morogoro
Hao mabaniani kwao ni Bagamoyo
Bakhresa sio mwarabu ni mswahili...kwao Zanzibar

Endelea kuteseka tu mzee........
So Singida, Igunga, Mtwara, Bagamoyo, Morogoro na Zanzibar ni kwa warabu? 😂😂😂

Rostam is Iranian
Mo Dweji is Indian
Fija Hussein is Indian
Abood is Oman
Bakhresa is Oman
 
Mchina anamiliki mtambo wenu wa piwa, expressway, Talanta, 80% of all high rise buildings hapo Kunyaland na deni almost lote la serikali 🤣😂
Ukona hasira ju hao wachina hua munalamba wana wekeza multi billions in Kenya than in Bongoslum. 🤣 🤣 🤣
 
Hapa hakuna barabara hata ukizoom aje

Alafu anakuambia ati tu ajenga uwanja CBD, sikujua Ng’ong roar ni CBD. Yani Nairobi kila corner imejengeka hadi wanaconfusena CBD😂😂
View attachment 3213310
Ngoja leo nikichome kichaka chako 😂😂😂 haya huu hapa uwanja wa arusha ni mita kumi au 20 pembezeni ya barabara na ni mwendo dakika 10-15 to airport, na uko karibu sana Burka city Arusha, 👇🏾
IMG_3992.jpeg
hii hapa picha ya uwanja na barabara kuwa karibu
IMG_3994.jpeg
 
Ukona hasira ju hao wachina hua munalamba wana wekeza multi billions in Kenya than in Bongoslum. 🤣 🤣 🤣
Uwekezaji wa wachina hapo kenya ni kwasababu ya bogas treaties mkuu not otherwise, wachina kama tungewapa go ahead ya treaties za kipuuzi kama nyie mnavyofanya sahii China ingekuwa imewekeza pesa mingi TZ kuliko nchi yeyote duniani, remember geographically we are the regional economic hub. Fartile land (almost all the land in TZ is arable) madini everywhere, tumezungukwa na nchi nane karibu zote ni land locked countries. Tungeruhusu tu ule mkataba wa bandari bagamoyo $30 billion project sahii
mngekua mshakimbia mijadala ya bandari, sisi ni taifa huru haturuhusu upumbavu mnaofanya.
 
Back
Top Bottom