Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
sio mm nimesema ni minister ndio kasema wanajenga wachina kwa pesa yao kama vile expresaway ilivojengwa 😂😂Nenda uambie huyo minister basi akaandike hapa ati owner wa Talanta Stadium ni Mchina, najua unaumizwa na Talanta lakini hakuna kitu utafanya.
View attachment 3212738
Uchaguzi na kuingia mkataba wapi na wapi?maneno ya kisiasa tuko 2025 na tunajua ni muda wa uchaguzi hata tukiambiwa sasa hvi tunajenga nucleur plant tutaamini kwasababu ni 2025 😂😂😂😂
ww na waziri nani anajua zaidi??😂😂😂😂Look at the part I have underlined in yellow then tell me the difference between proprietor and client.
View attachment 3212830
Kumbe hawa wanyamwezi yanakula hadi nyama ya punda 😂😂
View: https://x.com/AfricaStoryLive/status/1433460195364048903?t=n4XDGypIQUOHst3iyLDhNQ&s=19
Huyu mnigeria kaishi kote Kenya and Tanzania for more than 2 months
Kasema Tanzania has more developments than Kenya. Public transport in Tanzania is among the best in Africa.
Kenyans, continue relying on online data
View: https://youtu.be/zGOaqEO7bgU?si=rO-I_NeniHMWycq7
sio mm nimesema ni minister ndio kasema wanajenga wachina kwa pesa yao kama vile expresaway ilivojengwa 😂😂
View: https://x.com/nationafrica/status/1765302835229392935?s=46
Leta fact kama sie tulivyoleta fact kwenu jinsi mchina anavyomiliki kuanzia barabara, majengo, mtambo wa chang'aa na bandari ya lamu na Mombasa mshampa mahindi Kuna siku itafika mkenya atamlipa mchina toll ya kutembea Kwa miguu na kuvuta pumziMchina anamiliki kila kitu Tanzania, zile zenye zimebaki zinamilikiwa na warabu na wakenya. Watanzania Kama wewe mmeachiwa uchawi na kuimba mama 24/7.
Tulijenga a 60k seater stadium 30yrs hata before mjue Mchina atawajengea Makwapa Stadium. So please do tell us, why build a stadium in the bush where there are no roads and electricity? Who is going to play there?