Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aibu gani hizi. Yani nchi imetekwa nyara na warabu!?🤣🤣🤣🤣🤣

Ngozi nyeusi imebaki ikipiga kelele JF na kutaja Azam 24/7 mali ya mwarabu🤣🤣🤣
Wakina Manu Cyandaria na Shah umewasahau sio?
 
😂 Alafu wanataka kubishana na Wakenya. Kenyans are the most entrepreneurial people in East Africa. You can find a Kenyan owned restaurant in Washington DC USA but you can never find a Tanzanian restaurant even in nairobi View attachment 3212710
I have been here twice … best mbuzi choma I have ever tasted…. Very popular with DC based diplomats.
 
Hii story ya beggars wenu Kenya huwa inawauma sana🤣🤣🤣 Eti we have millions of Kenyan refugees in Kenya? How can you be a refugee in your own country. Can you define what a refugee is?
Uliza serikali yako iweje mpaka leo zaidi ya miaka 60 ya Uhuru bado mna njaa, unashangaa mkenya kuwa refugee ndani ya Kenya? Hakuna kitu kinashindikana ndani ya Kenya cz it's a shit hole mavi country.
 

Nenda uambie huyo minister basi akaandike hapa ati owner wa Talanta Stadium ni Mchina, najua unaumizwa na Talanta lakini hakuna kitu utafanya.

1737734095934.jpeg
 
Bongolala, engage your brain for once. I know it hurts but tell me how one becomes a refugee in their own country
We kichaa? Unatuuliza sisi badala sisi tukuulize wewe iweje kule kakuma refugees camp kuna more than 30% ya wakenya wako registered na wanakula misaada. Usije kushangaa hata wewe ni mnufaika au hata ndugu yako mana 30% ya wakenya 65m sio mchecho.
 
Waarabu wenye wamezaliwa Tz kuanzia babu zao ni Tanzanians, Kenya inatawaliwa na wazungu foreigners. Without foreign investments kenya level zake hapa EA labda ni burundi. Facts.
Warabu ni warabu. That’s why their have their country of origin. Tanzania ni kwa akina maskini kama wewe na watchman.

Hata ni vizuri umewaita warabu, case closed.
 
Wakina Manu Cyandaria na Shah umewasahau sio?
Ukabila unawamaliza Wakenya
Nyinyi ni vigeugeu, topic imeanzia kuwa Sportspesa ina uniliki wa wakenya, mkaanza kusema eti ni ya waingereza blahblahblah…wakati huo hankuona ubaya wowote,
Sasa mkigeuziwa mnaplay victim
Tofauti yenu na yetu ni kuwa wakenya wenyeji pia wana bidii kuweza kutengeneza mali kama wengine. Its more of a challenge kwa watanzania rather than ukabila, wachangamke!! Na mkiona mtu mweusi amefaulu msianze kusema eti ni mali ya mzungu, ila tukiwaambia ukweli sasa imekuwa ukabila 😂😂😂
 
Warabu ni warabu. That’s why their have their country of origin. Tanzania ni kwa akina maskini kama wewe na watchman.

Hata ni vizuri umewaita warabu, case closed.
Ukijitia utahira me nakuacha tu.. ila ukweli ni kwamba akina baresa wote ni watanzania wazawa kuanzia babu zao. Ila uchumi wa wakenya ni mali ya mzungu na mchina.. wakenya wote ni maskini, kuanzia wewe en your fellow country men in this thread. Tena you guys ni maskini wa kutupa. Facts..
 
Back
Top Bottom