Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
KinyamweziWhat language is this?
KinyamweziWhat language is this?
Wewe ni mpumbavu na inaonesha jinsi gani una elimu mbovu.Wewe ni mjinga, in the highlighted area uoni the word “them” imetumika after company? Meaning many.
You are just an idiot.
You are an idiot, company is already plural, the person is representing the company and ni lazima tu the plural pronoun itumike. Go back to school, idiot.Wewe ni mpumbavu na inaonesha jinsi gani una elimu mbovu.
"If the person from the insurance company calls, tell them I'II call them back tomorrow."
I highly doubt your knowledge of parts of speech. It's clearly you have no idea which is the subject of clause.
asiruhusiwe kuingia na bastola kwenye mkutano!Akitoka huku akamtembelee na zakayo hapo juu 🤣🤣🤣
Muulize Willy paula anaendesha gari gani?
Yuko busy akiokotoleza donations huku!
View: https://x.com/WillyPaulMusic/status/1877712014308409515
Nyie nyang’au akina Nicxie na Teargass hivi ni lini mtafika huku?😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=-LzB18xAuRQ
"If the person from the insurance company calls, tell them I'II call them back tomorrow.You are an idiot, company is already plural, the person is representing the company and ni lazima tu the plural pronoun itumike. Go back to school, idiot.
Nyie nyang’au mmechoka kujifananisha na Tanzania?Hamjachoka kujifananisha na Kenya?
Hawa wapumbavu wanachukua picha ya juu kwa mbaaaaali sehemu kama ilala ambayo ni high density. Wanachukua picha ya mbali ili ionekane nyumba zimebanana hakuna barabara. Wapuuzi sana wakati Ilala na sehemu kama Magomeni kumepangwa tangu enzi za mkolono.
Mimi mwenye ZuKu
Sina la kusema🤦
Chukua kingamuzi cha zuku au DStv utalipata radio ya country tupu.
Kama vipi zidownload YouTube zimejaa tele
Kwani huko Azam kuna nini cha ziada mbona mnapaendekeza sana
Kifurushi cha Azam cha elfu 17 Zuku kinauzwa buku 4
Azam akikosa haki ya kurusha matangazo ya mpira wa Tanzania itakufa kibudu ukiondoa mpira haina tofauti na zuku hata startimes wame washinda
Acheni na ujinga wa router watafute Simbanet Tanzania kwa business connection au Zuku fibre utakuja kunishukuru.... speed kubwa muda wote alafu unlimited...
Walipe tu no way, kwanza ukitoa NBC league Azam kama zuku
Au kama mtaani kwako Kuna zuku fiber ivute wale fiber zao zina kasi sana aisee afu ni elfu 50 mbps 100
Kwanini usiwatafute Zuku tu kama wamefika maeneo yenu.TTCL ilishajifia tokea mwendazake aondoke.
Pole sana subiria tu starlink sasa kama itaruhusiwa Tanzania mwakani...nna uzoefu na ttcl walinisumbua sana kwenye kuunganishiwa.Uzuri maeneo ya Mbezi Beach zuku ipo niliwapigia ndani ya masaa 24 nilipata huduma na bando lao la elfu70 tu kwa mwezi nateleza
Si kweliApparently Zuku haijulikani Tanzania 😂😂😂
KundudwellerApparently Zuku haijulikani Tanzania 😂😂😂
Hii picha hakuna barabara ya lami hata moja. Barabara zote ni za vumbi.